Jinsi hawa walatino wanavyohusudu waafrika unaweza kula kimasihara mjo mzima... nitakuja na zangu kutoka pande hizo ni walaini mno unaweza ukadhani unamuumiza ukiwa juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa nyoko kinoma yan nimecheka kifara sijawahi kabla, asa alikuwa anatega kamba ili avute kwa nguvu mdondoke? Yan usimuliaji wako wa kimasihara kama ulivokula tunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hapa ya mwaka mpya
Kama week mbili hivi kuna mdada alikuja offisnin kwangu nikamhudumia vzr tu lkn kuna kitu alisema atakuja tena kununua.
Ndugu yangu yule demu sio kwa tako hilo na mm ndio ugonjwa wangu huu.
Lkn sura yake amechukua kwa baba ake, week hii J3 alikuja nikmhudia fresh lkn nikaomba namba akanipa.
Ilipo fika J4 nikamuuliza kama mafundi nilio mtaftia kumaliza tatizo lake walitatu, akajibu anashukuru sana wamemaliza kabisa.
Nikasema poa, na nikaaza kumsifia kuwa lkn Mungu amekubariki sana kuliko wanawake wengine.
Alionekana kufrahi sana, basi story zikawa nyingi baadae nikaomba kuonana nae kuongea akakubari.
Jioni ya siku hiyo hiyo tulionana mida ya saa 18:00 hivi akajishaua shau mara unataka kunilala bila kunitongoza mara nn nikamuambia kwani kutongoza kitu gani ww basi nikutongoze saizi tukacheka sana.
Baada ya hapo nikala mzigo, lkn hakuwa mtamu wala nn.
Kesho yake akaza kuomba hela na mambo mengine mengi. Nikaona hapa nisipo shituka ntapata tabu sana nikamshiti mpaka leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rikiboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kula tunda lakn pia pole kwa kuondokewa na ma x binamu (R.I.P)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna aliepima akaja kutoa ushuhuda hapa kuwa alikutwa nao zaidi ya Mungu alikuwa upande wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unajihami mapema hivyo,bila shaka hii ni chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…