Nakazia
"***** zao"
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhahahh... "Waliomuhamisha Mkoa"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] Maaaaae zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maturity said...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishaenda kwenye ungamo wakati napata kipaimara, padri yupo kwa kichumba chake apo nipo darasa la 5,
Nakumbuka nilimtajia zaidi ya vitoto 10 nilivyovila na mwisho nkasema naungama kwa kupata kipaimara bila kuhudhuria mafundisho hata siku moja, yaani kidogo ainuke kule kwenye kichumba chake...

Baada ya kipaimara akaniita akaniambia uache tabia mbaya utapata dhambi nyingi afu alikua akicheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu baba
Mzee mwenye uzi wake rikiboy aka Cosmasjulius nimetoka jela leo. Haki za binadamu ni suala tata kama utata wenyewe

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…