Spray gan hiyo,mzee na inapatikana wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na zawadi ya ukimwi juu, Ulifanya sifa ili uje ulete stori jf uonekane na wewe kidume, ndo ukome sasa
 
Hii chai kams sio chai basi ni Malaya huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafinga kuna Malaya sana. Yaani wengi sana. Na hii itakuwa ile lodge ipo mkono wa kushoto kama unaelekea Iringa baada tu ya kituo cha mafuta cha Total pale Mafinga.
So obvious huyo ni malaya. Hiyo bar and lodge wana tabia ya kuleta mabinti kutokea Singida na Babati and hakuna binti above 23.

Sent from my SM-A205F using Tapatalk
 
Dangerous πŸ”₯ fire
 
Uongo mwingine bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…