Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Natoka zangu kununua Luku kama 2012 nimemaliza chuo ndo nabuzz buzz nipate kajob kuna lidada jirani jeupe mke wa mtu tulikuwa watu wa story moja mbili sio kiihvyo niko njiani narudi mara simi hiyo kupokea yeye saa 7 mchana hiyo ananiuliza eti nakunywaga bia ( hapo mimi hata bia sijwahi gusa) ila akili ikafanya kazi fasta nikamjibu ndio. Akasema basi twenzetu sehemu...nikamwambia kama ni hvy itabidi tunywe sehemu iliyojificha sio bar za nje kiutani utani akanambia subiri kidogo...hee!! After 30mnts ananiambia njoo lodge fulani room namba fulani...uoga ukanishika ila daa nkasema nyama hii siwezi kuiacha.basi nikajisogeza sehemu nikamkuta kweli kajitenga na kuna Safari chupa 2 na yeye kajinunulia castle light...nikasema sasa bia sinywi si ntaumbuka...basi nikachukua nikapiga sip moja nikampangusa viwalo nikampa cha kwanza akalala fofof nikaenda kuimwaga chooni yote...then nikamuacha madakika kibao nikamwamsha eti ooh ushamaliza chupa moja nikamwambia ndio nikamla cha pili akalala tena fofofo nikamwaga chupa ya pili chooni nikabakisha kama robo glass.....YAANI SIKUAMNI KAMA NILIKULA LILE TOTO JEUPE...ILA MME WAKE MSUKUMA KAENDA HEWA ANA BONGE LA MWILI.ikabidi nimpotezee mazima maana angenipotezea marinda yangu bure kama ningeendelea nae
🤣🤣🤣🤣 angekupotezea nn mkuu..?
 
yaani mnafikiri wote wana upungufu wa kiume kama nyinyi

mimi show huwa napiga...goli la kwanza dakila tatu,ila naunga na la pili bila kuchomoa dushe na hapo show inaunga hadi la pili na hapo lazima zifike dakika 30-40....anajipiga mabao ya kutosha hadi nione **** imekauka maji...

halafu ndio mambo mengine yanafata kama salamu n.k
Hii sio reality

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa hukula tunda kimasihara

uliokota tunda kiutani utani
Ilikuwa mida ya usiku nimetoka kitaa flani ivi kuzuga napita kwa street nakutana na demu ambaye namfatiliaga mda mrefu ila hananizungusha . Nikamwita tupige stori ataki na kuniambia kuna mtu namwahi hapo chini, nikawaza uyu demu anamuwahi Yule masanii anaekunywa bia nje pao. Du nikamaindi nikasema uyu demu ananizingua sababu ya Yule mwanamziki maarufu kuzidi mimi.

Kukakucha asubuhi.
Ilikuwa mida ya saa saba kasoro nimetoroka job narudi home nikapita nje ya nyumba anapoishi Yule mwanamziki. Namkuta Yule demu anaziguka nje kwao. Nikamwita na kumuuliza we vipi hapa akawa Hana jibu. Unaelekea wapi . Akajibu me nipo nipo tu hapa. Nikamwambia basi naomba nikuzungushe kidogo, akakubali na kuniambia Mana sina hata mpango was kuenda home saizi.
Moyoni nikacheka na kusema Leo nimeokota dodo.
Nikamwambia unaonaje tukaenda kupiga stori gheto akakubali . Stori mbili tatu nikampiga mashine . Baada ya hapo kila mtu kala 50 zake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukikamia utakuja kuangukia kama yule jamaa aliparamia, akidhani kila demu n kumla kimasihara ailigwa bonge la kofi na urafiki na demu ukaishia palepale.

Kula kimasihara huwa inakuja tu automatically kama huyo jamaa wa hapo juu, yan ametoka tu mpiran kupumzika halftime akakuta manz kakaa pale katoa msaada na akala mzigo siku tatu!

Sent using Jamii Forums mobile app
hii story nilikuwa naitafuta jamaa aliniacha hoi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dada mmoja ni best yangu sana tangu 2011 tulikutana kazini kwenye taasisi moja ya afya Mkoa mmoja.Huyu manzi hajawahi kuzaa wala kuolewa na umri ni kama 45 hivi.
Sasa toka 2011 sikuwahi kuwa na hisia naye kimapenzi kwani hata hivyo kanizidi umri mbali.Mwaka huu mwezi july nilienda kwake kumtembelea,imefika saa mbili usiku nikaaga akanitoa kunisindikiza,njia tuliyopita ni giza nene,aisee ile tunaagana nikamkumbatia nikaanza kumtia moyo ipo siku atazaa tu huku nashika kiunk chake katulia tu.Basi nikapeleka mkono kalioni mala huku nikavuta sketi kwa juu nikainamisha pale nikagonga kamoja,kelele tu ooh ulikuwa wapi siku zote hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna stori hapa zinafurahisha wakati mwingine inabidi tu ucheke, nina ombi kwa wana masiahala ili iwe motisha kwa wasimliaji wetu na waongezeke maana hatuwezi wapa pesa basi like ziwe nyingi kwa kila msimuliaji haijalishi kaandika poda au sembe ili nyuzi lisonge mbele,

Basi nyuzi limeanza niko zangu mwanza pale nyege asubuhiiiii nianze safari kurudi zangu dar hivo lazima nipitie moro nilale kwenye banda langu .

Nimeingia kwenye basi kampuni ya nyehunge siti ya kwanza kabisa kwa dereva maana siti ya kwanza nayo siku hizi ni michongo kuipata nilikuwa na maana yangu kuitaka iyo seat, nimekaaa kama nusu saa niliwahi kidogo . Ghafla kaja dada mmoja na mshikaji wote wakazama ndani mtu wa kwanza kuingia ni jamaa nashangaa tu kaishiwa pozi kuniona ile siti kumbe demu wake naye kakata seat ile ile.Ilikuwa wanakuja kuagana kwa kukaa pale sasa ndo kakuta nishaingia mapema nimepiga miwani myeusi tii na pensi fulani hivi inshort nilivaa kiblzamen kichizi alafu nimependeza balaa nazingatia kuvaa vizuri nikiwa nasafiri au kitaa maana ndo utajiri nilio nao wa kubebea totozi kali.

Ile nawachora tu kwenye kioo cha miwani jamaa alivoishiwa pozi nikasikia karudi nyuma kamwambia demu wake siti yako iyo hapo then kaweka kibegi chake akaomba waagane nje uko,muda wa kuondoka ukawadia nikaona jamaa kaingia tena kupunga mkono wakaagana safari ikaanza nami sina habar kabisa na yule sistaa duu mwenye kalio kubwaaa alafu (shortchasis)fulani mzigooo umeeendaaaa weeeeeeh vile gari zinatoka nduki pale kila mtu ana habari zake sikutaka kumshobokea maana nisije kuta kituko badae au demu akalet nyodo sisizo.katikati ya safari bwana wake anampiga tu simu kumwambia awe makini na asinizoee kabisaaa hizo aliniambia demu baada ya mazoea na kuna muda nilisikia demu anamwambia kuwa na Amani bhana yeye mwenyewe hana hata ilo unafikiria,kipindi wanaongea mie nimekaza tu nazuga nimesinzia huku nachora maeneo yote yaliyo karibu yangu inshort namwangalia demu kuanzia juu nashuka naye ila kiwizi wizi maana kushapambazuka nikaona pisi kali kindwazi.

Akili ikasema hapana nitakula naye tu yule mpuuzi safari imeendelea weeeh baridi linapuliza hatari mara pyuuuu kapitiwa usingizi wote tukasinzia badae kidogo nashituka tuko mbele uko vijijini sipajui foleni na trafiki wanafanya yao, pale ndo tukaanza kuongeleshana sasa nikaanza mbona unajifunika sana vipi baridi? Kanijibu eeeh c unajua hii ni asubuh tena ananiangalia kwa kuibia hivi.nikamwambia naomba basi tujifunike wote nami nasikia baridi kweli samahani lakini dada.kakaza fulani hivi sitaki nataka nikakausha then nikaendelea na stor za hapa na pale kudadisi yule nani na anaenda wapi .

Pale pale nikatoa miwani yangu sasa kumekucha demu kaniambia yule ni rafiki yangu ni bodaboda alinisindikiza,nikakaza rafiki yako mpka anakutafutia seat vile kuwa tu mkweli bana siyo poa kumkataa baharia.Demu alicheka kidogo kisha akasema achana naye ila moyoni kichwa kinajua ni basha ake yule maana nilimkazia maswali ili nimuone ni mwanamke gani ikitokea nipate pa kuwekea akiba badae usiku nitashuka naye tu ilo lazima nishaliweka kichwani.

Safari iyo ngona inapuliza sasa badae nikaachana naye nikatoa miwani yangu nikapiga usingizi heavy sana ila siyo wa kukoloma maana nilitoka kukesha na nesi mmoja hapo Mwanza hospital moja kubwa tu private. Kumbe nimelala yeye ndo kapata muda wa kuniangalia na kunisaminisha yawezekana naye kunila kimasihara kulianza kumwijia kichwani nami nikimuwazia mbeleni uko mpka kufika moro analiwa lazima mwisho wa safari,badae nimeshtuka nikakuta ananicheki kichizi katoa jicho chap stori zikaendelea weeeeh nikahakikisha namfahamu vizuri wenyeji wake moro na yeye...kumbe alikuwa kamaliza chuo cha ualimu seco mkoani moro hivo alienda mwanza kutalii kwa maelezo yake ila si kwa bwana.......sasa njiani zikawa ni stori tu kumbe wale makondakta wanamuonaga sana mchizi anamsindikiza mara kibao anaendaga mwanza kwa kupitia huo usafiri jamaa nikaona kama wanaona wivu fulank nilivomuweka mtoto kitanzi ananiingelesha kama tunafahamiana muda.

Tumefika sehem sijui shinganya nikashuka kuchimba dawa yeye kabaki kumbe ananichora nilivokuwa smart dadeq na nilivokuwa tu mwonekano demu kuchomoa siyo rahisi nahisi hata jamaa ake aliliona lile ndo maana kajamba,nimerudi kwenye gari mtoto ananichangamkia ti safar ikaanza stor zinaisha tunalala tunaamka muda wa msosi nikanunua plate mbli za nyama kuku,naingia nakuta kanunua matunda sahani mbili naye na bite bite hivi nilivofika nikamkaribisha maana tushazoeana sana akaniambia anaumwa jino hivo kula nyama itakuwa shida kwa kuwa na nishanunua basi atajitahidi kidogo tumekula stori zinaendelea hatari huku na huku jamaa yake anapiga simu mida wote waongeee mara amuulize huyo jamaa vp mnaongea naye ,mara vp mko wapi,kashuka demu kamwambia ameshuka singidani uko ndo jamaa kuelewa akamuuliza vp ulimpa namba demu akakataa....muda huo mie nina habari na simu yangi nakula mziki badae kwnye stori ndo demu kuniambia aseeeh yule mchizi anaulizia kila muda...nikamwambia wewee siyo ulisema yule ni boda kumbe jamaa yako? Kakubali kishingo upande ila nikajiongeza huyu kawaka kwangu na yule jamaaa alikuwa na hela sana trip zote yeye ndo anashika na pesa za ziada kampa mpaka kadi ya bank kampa cuz mshikaji alikuwa kampuni fulani ya watu weupe yeye kama mhasibu hivo alikiwa anamake sana pesa ila ndo hivo tunatofautiana mwonekano na kujiweka.

Stori zote hizo alikuja kufunguka mwanadada stori ni ndefu mpka kufika nitamalizia ngoja nitoe huduma kwanza.





Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana huyo mchizi ameshauona huu Uzi wa watu wanavyoliwa kimasihara ndo maana kila mda alikuwa anaulizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom