duuh mabaharia bahati hizi mnaziokota wapi
Zipo kila sehemu sema tu "Luck favors the bold"

Mwaka jana siku ya Xmass madogo walikuwa kunitembelea home. In the evening nikawa nawarudisha kwao. Sasa karibu na kwao, tukakuta njemba na demu kama wanabishana hivi. Nikawafikisha madogo home, nikageuza; mara namkuta yule demu yuko peke yake. Nikampita, nikaona ngoja nijaribu bahati yangu. Nikarudisha gari nyuma. Dada habari, twende nikusogeze, nikaona anajishauri shauri. Akaniuliza kwani unaenda wapi? Nikamwambia, popote unataka kwenda nitakufikisha.

Mara mtoto kaingia, amelewa chakari. Namuuliza unaenda wapi, hajui! Duh, nikaondoa gari. Tumefika mbele kidogo, jamaa anapiga simu; demu wacha aanze kufoka, wewe unaniacha barabarani mtoto mzuri kama mimi ulidhani nitakosa wa kunichukua. Jamaa anajitetea alienda kuchukua ndom. Tumefika mbele kidogo, akakumbuka mtaaa anaokwenda, bahati nzuri naujua.

Tumeenda kidogo jamaa anapiga simu kweli kweli, nikaona hili linaweza kuwa balaa! Nikamfikisha mtaani kwake, nikachukua tu namba nikasepa. Nilikuja kumla mwaka mpya.
 
Haa ha ha... Balaa sanaa mwana angekusakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah itabidi ninunue gari aisee
 
Achaa tuu mkuu pesa ndo jibu la mambo yote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba naniluu akujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ifike hatua sasa tupige kura kati ya matunda yooote hapa.

lipi lililiwa kimasihara masihara kweli...

maana kila siku zinavosonga naona masihara yanazidi kuwa next level...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo visa vingi vya kutisha vimefuntwa na moderators sasa wale wageni hawajavisoma. Labda kama wanaona kwenye qoutes tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu.
Wewe ndio ungeanza kupata ajira walq usi gemtosa ila kwa hawa viumbe hawana uvumili kwao ni tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…