Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,207
- 3,604
Laptop mwaka 2000? Kwel umetokea ushuaniSemester ya kwanza mwaka wa tatu,jioni moja nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye alikuwa Main Campus - UDSM.
Nilipofika alikuwa yupo pale kituoni Utawala akongea na binti mmoja wa kisomali ambaye mwanzoni nilidhani ni mwarabu. Hapa naomba nimwite Minna (sio jina halisi) Walikuwa wakizungumza kuhusu laptop, basi nikatambulishwa na mazungumzo yakaendelea.
Shida ya binti ilikuwa anauza laptop yake ili anunue nyingine. Nikajitosa kwamba ninaitaka hiyo laptop, binti bila kusita akanikabidhi nikampa ahadi kwamba hela nitampatia ijumaa inayofuata ( nilikuwa nasubiria Boom na pesa ya special faculty requirements) Nilicheki laptop na nikaridhika nayo.
Jamaa yangu akakubali kuwa mdhamini.
Tukabadilishana mawasiliano na binti akasepa, nikabaki na jamaa yangu tukiendelea na story za hapa na pale na jamaa akafunguka kwamba huyo binti anamkubali sana na ana mpango wa kujiweka hapo. Nikamtakia kila la kheri.
Boom likaingia Alhamisi, usiku nikamtext kuwa hela ipo tayari, nitampelekea kesho yake, akajibu kuwa hatakuwa chuoni kesho yake hivyo atanijulisha atakaporudi. Nikamtania kuwa "hii hela nitaila ukichelewa"; akajibu "ukiila na mimi nitakukula wewe" nikabaki na kimshangao kisha nikamjibu "utaanzia kunila wapi" binti akajibu " nitaanzia kwa nyoka wako" meseji zote hizi ni kwenye SMS hivyo hakuna emoji.
Nikajibu "huyu nyoka wangu ana sumu kali" binti wa kisomali akamaliza kesi "usijali, nitamla yeye na sumu yake, wewe sema tu lini na wapi?!" Sikuamini nilichokuwa nasoma, nikamjibu "lodge, jumatatu kama utakuwa umerudi" kimya kirefu kikapita kisha akaandika "sawa, iwe mahali tulivu" .
Kwa kweli weekend hii ilikuwa ndefu sana, maana niliona siku haziendi kabisa, mawazo yote yakawa kwa binti wa kisomali. Rafiki yangu sikumweleza chochote kuhusiana na jambo hili.
Jumatatu asubuhi napokea sms "nyoka ameamka salama? Tukutane mbele ya Fairly Delight Mlimani City ( Hii ilikuwa restaurant eneo la nje ya Mlimani city kwenye geti la upande wa Survey kulikuwa na "buffee" za 10,000/- siku haipo hii restaurant).
Nikapanda Hiace ( Za Mwenge - Ubungo kupitia chuo) sijui kama hii route bado ipo. Nikafika nikamkuta mdada wa kisomali amepiga Baibui moja matata sana na ndani ana suruali tight ya jeans blue, amejiremba vya kutosha. Nilikuwa na aibu ya hapa na pale maana ilikuwa kama ndoto.
Tukazama Fairly Delight tukapiga chai na vitafunwa vya kutosha.
Saa nne kamili tukatoka, tukavuka barabara kuelekea upande wa Sinza ( pale kilipo kituo cha Daladala - ule mtaa una lodge nyingi sana.
Tukaingia lodge moja inaitwa Executive, nyoka akachezewa vya kutosha na kumwaga sumu isiyo na madhara. Mtoto alikuwa fundi sana na mwenye ashki za kutosha. Nachokumbuka nilirudi chuo jumatano saa nne asubuhi.
Hela ya laptop hakuichukua, mapenzi yakaendelea kwa kasi sana, nilipima nikaona nibaki na msomali kuliko dada mlokole ambaye alikuwa anataka ndoa wakati sikuwa hata na wazo. Dada mlokole akapata mchumba japo niliendelea kula mara moja moja.
Urafiki na jamaa yangu ukafa na jamaa akawa na hasira sana na mimi. Tumekuja kupatana mwaka 2018 baada ya kukutana Arusha kila mtu akiwa na issue zake.
Mbona hakuna mahala, alipoandika mwaka 2000.Laptop mwaka 2000? Kwel umetokea ushuani
jana nimetoka zangu niende kupata dinner pahala,nimefika hpo nimechagua meza....nikaagiza wali samaki na pembeni nikaagiza supu ya pweza na juice ya tende,ilikua baada ya kutoka zangu gym..nimetoka kula tunda kimasihara sasa hivi...
jana usiku nimetoka zangu niende kupata dinner..
itaendelea,anatoka bafuni...nimle cha mwisho niwahi ibada.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂unatisha mkuu hufai kabisa aniinaendelea sasajana nimetoka zangu niende kupata dinner pahala,nimefika hpo nimechagua meza....nikaagiza wali samaki na pembeni nikaagiza supu ya pweza na juice ya tende,ilikua baada ya kutoka zangu gym..
Mara akaja binti akakaa kwenye hiyo meza naye akaagiza...nikamchombeza,akanishangaa mbona unakunywa supu ya pweza una mgeni nyumbani??...nikasema hapana,niko mwenyewe tu...mara story mbili tatu nikaomba number nikamaliza kula nikaondoka zangu,nafika nikamtext,nimefika mrembo...tukaanza chat,nikamtania supu ya pweza inanipeleka mbio,mboo imesimama ngumu kama nyundo ya mpasua kokoto..njoo nisaidie ilainisha,mara taaaa uko wpi kwani....utani utani akaja,nikalipia lodge,nimekula mzigo the whole night na ile asubuhi ndio alikua kaingia kuoga...nikawapa intro kimasihara..katoka kuoga nikamuungia yaani tumeachana kimasihara siyo muda mrefu hapa...
nimekula tunda kimasihara tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemlipa Shiling ngapi? That bitchinaendelea sasajana nimetoka zangu niende kupata dinner pahala,nimefika hpo nimechagua meza....nikaagiza wali samaki na pembeni nikaagiza supu ya pweza na juice ya tende,ilikua baada ya kutoka zangu gym..
Mara akaja binti akakaa kwenye hiyo meza naye akaagiza...nikamchombeza,akanishangaa mbona unakunywa supu ya pweza una mgeni nyumbani??...nikasema hapana,niko mwenyewe tu...mara story mbili tatu nikaomba number nikamaliza kula nikaondoka zangu,nafika nikamtext,nimefika mrembo...tukaanza chat,nikamtania supu ya pweza inanipeleka mbio,mboo imesimama ngumu kama nyundo ya mpasua kokoto..njoo nisaidie ilainisha,mara taaaa uko wpi kwani....utani utani akaja,nikalipia lodge,nimekula mzigo the whole night na ile asubuhi ndio alikua kaingia kuoga...nikawapa intro kimasihara..katoka kuoga nikamuungia yaani tumeachana kimasihara siyo muda mrefu hapa...
nimekula tunda kimasihara tena
Sent using Jamii Forums mobile app
inaendelea sasajana nimetoka zangu niende kupata dinner pahala,nimefika hpo nimechagua meza....nikaagiza wali samaki na pembeni nikaagiza supu ya pweza na juice ya tende,ilikua baada ya kutoka zangu gym..
Mara akaja binti akakaa kwenye hiyo meza naye akaagiza...nikamchombeza,akanishangaa mbona unakunywa supu ya pweza una mgeni nyumbani??...nikasema hapana,niko mwenyewe tu...mara story mbili tatu nikaomba number nikamaliza kula nikaondoka zangu,nafika nikamtext,nimefika mrembo...tukaanza chat,nikamtania supu ya pweza inanipeleka mbio,mboo imesimama ngumu kama nyundo ya mpasua kokoto..njoo nisaidie ilainisha,mara taaaa uko wpi kwani....utani utani akaja,nikalipia lodge,nimekula mzigo the whole night na ile asubuhi ndio alikua kaingia kuoga...nikawapa intro kimasihara..katoka kuoga nikamuungia yaani tumeachana kimasihara siyo muda mrefu hapa...
nimekula tunda kimasihara tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mahali kulipoandikwa mwaka 2000.Laptop mwaka 2000? Kwel umetokea ushuani
Zipo kila sehemu sema tu "Luck favors the bold"duuh mabaharia bahati hizi mnaziokota wapi
Haa ha ha... Balaa sanaa mwana angekusakaaZipo kila sehemu sema tu "Luck favors the bold"
Mwaka jana siku ya Xmass madogo walikuwa kunitembelea home. In the evening nikawa nawarudisha kwao. Sasa karibu na kwao, tukakuta njemba na demu kama wanabishana hivi. Nikawafikisha madogo home, nikageuza; mara namkuta yule demu yuko peke yake. Nikampita, nikaona ngoja nijaribu bahati yangu. Nikarudisha gari nyuma. Dada habari, twende nikusogeze, nikaona anajishauri shauri. Akaniuliza kwani unaenda wapi? Nikamwambia, popote unataka kwenda nitakufikisha.
Mara mtoto kaingia, amelewa chakari. Namuuliza unaenda wapi, hajui! Duh, nikaondoa gari. Tumefika mbele kidogo, jamaa anapiga simu; demu wacha aanze kufoka, wewe unaniacha barabarani mtoto mzuri kama mimi ulidhani nitakosa wa kunichukua. Jamaa anajitetea alienda kuchukua ndom. Tumefika mbele kidogo, akakumbuka mtaaa anaokwenda, bahati nzuri naujua.
Tumeenda kidogo jamaa anapiga simu kweli kweli, nikaona hili linaweza kuwa balaa! Nikamfikisha mtaani kwake, nikachukua tu namba nikasepa. Nilikuja kumla mwaka mpya.
Kwa sasa tumebaki marafiki, i do respect her marriage.
Nimle cha mwisho, niwahi ibada......nimeipenda hii Bavarianimetoka kula tunda kimasihara sasa hivi...
jana usiku nimetoka zangu niende kupata dinner..
itaendelea,anatoka bafuni...nimle cha mwisho niwahi ibada.
Sent using Jamii Forums mobile app

Wakati unamla mlokole🙂Laptop mwaka 2000? Kwel umetokea ushuani
dah itabidi ninunue gari aiseeZipo kila sehemu sema tu "Luck favors the bold"
Mwaka jana siku ya Xmass madogo walikuwa kunitembelea home. In the evening nikawa nawarudisha kwao. Sasa karibu na kwao, tukakuta njemba na demu kama wanabishana hivi. Nikawafikisha madogo home, nikageuza; mara namkuta yule demu yuko peke yake. Nikampita, nikaona ngoja nijaribu bahati yangu. Nikarudisha gari nyuma. Dada habari, twende nikusogeze, nikaona anajishauri shauri. Akaniuliza kwani unaenda wapi? Nikamwambia, popote unataka kwenda nitakufikisha.
Mara mtoto kaingia, amelewa chakari. Namuuliza unaenda wapi, hajui! Duh, nikaondoa gari. Tumefika mbele kidogo, jamaa anapiga simu; demu wacha aanze kufoka, wewe unaniacha barabarani mtoto mzuri kama mimi ulidhani nitakosa wa kunichukua. Jamaa anajitetea alienda kuchukua ndom. Tumefika mbele kidogo, akakumbuka mtaaa anaokwenda, bahati nzuri naujua.
Tumeenda kidogo jamaa anapiga simu kweli kweli, nikaona hili linaweza kuwa balaa! Nikamfikisha mtaani kwake, nikachukua tu namba nikasepa. Nilikuja kumla mwaka mpya.
😂😂😂😂Noma, nikaona hapa inawezekana mwana ashachukua bodaboda ananisaka! Maana plan ilikuwa nitafute kigiza, nimlambe kwenye gari humo humo
😂😂😂aisee inamaana vitu vilimkaa kabisaKwa sasa tumebaki marafiki, i do respect her marriage.
Though alikuwa anataka kuomba talaka kwa mumewe ili akae na Mimi.
Atakuwa Mentor hapaJamaa hakunitaja katika uzi ila coment za mdau mmoja ambae walikua marafiki na mimi nahisi waliadisiana kwenye vikao vyao vya pombe.
Lakini hata kama asingenitext lazima ningeuona uzi ningetoka baruti