[emoji1][emoji1][emoji1] ngoja wakusikie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah!! Brother fanya utoe kitabu tutanunua tu maana hizi episode nizaidi ya Shigongo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaaa dem wakwanza kakupiga blow job ukapiz wapili pia blow job ukapiz...

Kikubwa ulikumbuka ndom.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiseme maisha yetu magumu sema maisha yangu magumu. Kama laki ni kubwa kwako kuna watu wanaspend hiyo kila siku na sio kitu cha ajabu kwao.
Mpaka dem anaamua kumtajia jamaa laki ujue ameshaoja jamaa ni wa hadhi hiyo .
Humu kuna watu wakubwa sana aisee ,usichukulie poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh hii kama muvi vile inayotumia akili nyingi.

We noma saana mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samia kwa sasa ni mke wangu. Si huyu A level alisoma songea huko na chuo akasoma mji kasoro bahari.


Acha kabisa mazoea nae. Tasavali plizzz


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanamatatizo ya moyo kutokana na mavyakula mnadhani ni Utamu.
 
Kumbe bikini huwa inavuliwa
 
Chaiii nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbaali mno,hayo maeneo 1996-2000 tuliyaita Serengeti maana kulikuwa na watoto wakali ajabu,kila likizo lazima tuzame hapo kuvizia mademu maeneo ya mkoani,mailimoja na tumbi.Sitasahau niliopoa mtoto wa mkuu wa wilaya flani enzi hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe elimu haikukusaidia kabisa. Huu uandishi hata la tatu a haandiki hv, hakuna nukta wala koma, mwisho kiingereza kimekaa kijapanjapan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…