Yangu ni hii mwaka 2007 nikiwa chuo flani hivi dodoma wakaja watoto wa 1st year sasa bwana mimi nilikiwaga maarufu sana hapo chuoni ni kwasababu ya kipaji cha mpira yaani nilikuwaga naupiga mwingi sana , sasa bwana sikumoja tumetoka club 84 tumerudi alfajili na muda wa saa 0800 ilikuwa kuna pindi class so tukajilaza kidogo kuja kushtuka ni saa 0830 tukakurupuka tukajiandaa faster tukaanza mbio sasa kwenda pindi nilikuwa na rafikiyangu mmoja hivi ile kushuka ngazi speed nikampamia mtoto mmoja wa 1st year akadondosha kipochi chake dah nilirudi nikakiokota nikamuomba na msamaha mkononi alikuwa kavaa vile vi urembo vyaki ras nikamuomba akanipa nikachukua na nambayake ya simu nikasepa zangu kula pindi,jioni nikamcheki kwaajili ya chakula tukenda kula sasa ikawa ndio ratiba kila mlo nipo nayr sikumoja nikaomba game nikapewa aiseee sikuwahi kusex na mwanamke bila kondom sikuhiyo nilikuwa mzigo mbichi kabisa yaani nilimfumua mpaka namaliza shoo mtoto hajielewi ikawa ndio tabia yetu sasa ila namshukuru sana Mungu maana sahv ndio mama wa watoto wangu wawili na ndoa takatifu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

