granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,812
- 11,146
Nyingine.....kuna wakati nilikuwa nafanya project Fulani Kanda ya Ziwa. Ili kukwepa gharama nikaamua Kukodi Nyumba maana project nilikuwa ya muda kidogo...basi bwana mwenyeji wangua akafiwa na mke wake basi ikabidi tuende kijijini kuzika...huko bwana nikakutana na bi Dada weka Mbali na Watoto story hapa na pale kumbe anakaa si Mbali sana na nilipopanga.
Akaniambia wakati wakurudi nipe lift basi...nikamwambia haiana shida...ila kumbe ni mke wa mtu..msiba ukaisha safari ya kurudi ikaanza ila kwenye gari Nina watu kibao...kufika town wote wakashuka tukabaki wawili tu Kwenye gari akaniambia nipelke home kwako nikapajue...nikamwambia haina shida...kufika akaniambia sishuki nipeleke kwangu...duuu nikashangaa...basi kabla hatujafika kwake akaniambia simama...nikamwambia kulikoni..akasema wapambe wengi taarifa zitafikankwa mumewe...nikmwambi poa ila kushuka hataki...nikamuuliza vp nikupeleke au...aknimbia hivi huwezi hata kuomba namba ya simu?? Ukinitaka utanipataje?nikauzuga....aaahhh nilikuwa nimesahau nipe basi...akanijia...akanipiga kibao akaniambia tabia yako sio Nzuri akaondoka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikwelii mkuu embuu kapangeee bwanaa unipee mrejeshooooCha kujifunza huu uzi kama wewe domo zege panga chumba tu utawala watoto wake za watu, malaya bila kutumia nguvu kubwaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikwelii mkuu embuu kapangeee bwanaa unipee mrejeshoooo
Usizoee,utakuja kupata ambayo hukuwahi kutegemea.Mi nimedeiti na baadhi yao,wengi ni wachafu,wanafanya mapenzi ofisini hovyo na muda mwingine hadi na walinzi,acha madereva wa afya,bila kuwasahau wa watu wa halmashauri.Sikutumia kabisa na nafurahi sikutumia...
Ntakuja kueleza kisa kingine cha mdada wa kiethiopia (mke wa,mtu)
Walitoka bdaypaty uko so nakumbuka walikuwa wanakaa kigambon wakaona mida imeenda ikabid mwana awachukueKwaiyo mwana alikuletea au aliupaki ili aje augegede yeye?
Acha tuu bro, mtoto alikuwa mkali kinoma, shida ilikuja wakati wa kutoka naogopa majirani kunionaAisee ulipiga kavu fastaa tu...[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwana wako una uhakika na wepesi Wa mdomo wake au unabonga tu kishambaWaambie hao mzee wanawake waojiheshimu hawafanyi upuzi....
Nishashuhudia manzi kafikia geto kwa mwana wiki nzima na hakutoa papuchi dadeki analala na jinsi
Huna lolote davinci feki ww ...leta mavituComment yangu naihifadhi.. isijezua mtafaruku humu.