Nime like mkuu umeniona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti akaanzishe mapambio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikute hana mtu wa kumtimizia nahitaji ya kimwili, si unajua wanawake wakikosa ile raha huwa na hasira sana.[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabaharia, uongo sio desturi yetu..hizi mambo za chai tuwaachie wadada ndio huandaa kwa ajiru yetu mabaharia..[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikigombana na malkia wangu nahakikisha niko nae hadi hasira ziishe maana timu bembeleza kaka wa hiari ni wabaya sana
 
Hapa mchezo mzima ulikaa sawa baada ya kuonyesha ni good boi ngome ikabaki bila ulinzi mwisho ni mzuri big up...
 

Nakupenda sana
 
Uzi umeingia nongwa maana mm natembea na gundu wengine wako swafiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshamsaidia Kumuitia Watu Wa Kumuelewesha.

Amachofanya Ni Sawa Na Kwenda Bar Uagize Maji Halafu Uchukue Mic Na Kuwatukana Wanaokunywa Pombe

Simu Zetu, Bundle Letu, Ac Zetu, Akili Zetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabaharia hatujari...[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…