Hivyo jamaa aliporudi alimla demu wake au iliishia hivyo hivyo
 
Ameen ameeen on behalf of mfungwa rikiboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uje na maandazi mkuu.

Chai chai... we kama una za ukwweli si ulete.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakutana na papuchi ya CUTE love we we mbona utafurahia maisha na 7800/ unatoa mwenyewe bila ata kuombwa
 
Kuna kisa fulani cha kumtafuna mke wa askari apa naandika nafuta,roho inasita huwenda jamaa yupo humu alafu nkaharibu ndoa yao, ila najutia hicho kitendo mpaka leo lakini sikuwa na jinsi maana mwanamke aliniganda na mpaka leo huyu mwanamke ananisumbua sana na alitishia kuniharibia kwa huyu Mumewe ambae ni askari police (ambae ni mafia sana)!!

Jamani kaeni na wake zenu vizuri, mnashindwa kutimiza majukumu yenu ndo maana wake zenu wanahangaika na kutaka watu kwa mabavu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah! Uncle ndio siku nilikuona seven ways? [emoji41]...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu demu nadhani namjua hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…