Nje ya mada.

Hivi ni mimi tu ndio nafananisha muandiko wa Chai ya Rangi na Forrest Gump?.

Kama ndio hivyo. Mwamba katisha sana, yuko mwaka wa mbele. Kakaba pakubwa.
ID moja inamuimbisha Seran na nyingine inamuimbisha ShesRise_1

😊😊😊😊😊
 
Hongera sana bro..Story yakΓ³ onafundisha kwamba wema unalipa
 
Na pande za Mbeya kwa makalio tu Duuuuuh πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ”₯πŸ”₯
 
Story nzuri sana hii aisee
 
Hukosi he

HUkosi hewa kweli Mkuu wangu
Wala hukosi hewa Chief..Jaribu siku Moja...

Hatari sana hiyo mambo, hasa ukutane na Mwanamke anayejua πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 
Ulitisha sana Baharia ..

Umeniacha hoi kwenye, Clean as a hotel plate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…