Coder12 kama Coder12..Wewe Mwamba 😂😂🤣🤣🤣🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Ulituwakilisha vema Baharia 🤝🏿🤝🏿🤝🏿
 
Graham kama Grahams 😀🤣🤣
 
Graham kama Grahams 😀 😀 😂
 
😀😀😀😀😀..
Pima tu Mzeiya
 
Nijuavyo JKT huwezi jitolea miaka 2 kama hujafikisha miaka 18, huyo aliingia JKT mwezi mmoja akapata kazi ?
JKT hupiti .
Na pia Suma wanaokota tu watu mtaani wanawapa magwanda ndo maana mishahara yao midogo
Kwa ruhusa ya wazazi miaka 16
Nijuavyo JKT huwezi jitolea miaka 2 kama hujafikisha miaka 18, huyo aliingia JKT mwezi mmoja akapata kazi ?
JKT hupiti .
Na pia Suma wanaokota tu watu mtaani wanawapa magwanda ndo maana mishahara yao midogo
Miaka 16 na 17 (CHINI ya miaka 18) wanaruhusiwa kujiunga , kwa ruhusa ya wazazi au walezi wa kijana husika..
 
Safi sana Baharia kwa kumpunguzia Binti wa watu Genye 🙌🏿🙌🏿
 
Ndiyo hiyo pisi Mzeiya ama??

Kama ndiyo hiyo hongera, pisi ya kwenda
 
Ulifanya busara kuachana na mpango wa demu wa mshkaji wako, kweli Vita kubwa ingetokea..
Matokeo yake ukabahatika utamu wa Kimburu
 
Gari zinazotoka morogoro kwenda mahenge ni adnas inatokea mafiga. Kama ni msamvu basi ulipanda mbekenyela au Efra. Na hizo zinatokea DSM moro hupita mchana.

Anyway karibu mahenge tutafute spino na dhahabu.
Mwaya naijua sana sehemu za Ruaha, kituti sali, hadi ketaketa. Tuko na wanaapolo.
Huyo demu nmeshamfahamu anauza baa moja kule mwaya ya dada mmoja mpare 🤣🤣🤣 kuwa makini kijana wanajiuza wale
 
Cha muhimu Alipata utamu, hata kama anajiuza 😀😀..

Anyway Ngoma ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…