Chai ya baridi hii kkkmko
 
Shalom,
Dada yenu nimerudi tena, kama kawaida huwa nawakumbusha kitu kimoja. Kujali afya zenu na mnaowapenda. Tendo la dakika 5 linaweza kukubadilishia mfumo mzima wa maisha yako.

Jali afya yako, jipende, penda na anayekupenda. Mnapokulana kimasihara mkumbuke kinga na kuwakinga wenzenu. Mwanaume ana asilimia kubwa ya tendo liwe salama ama lah. Unaweza kuishi bila ngono, jitafakari.

BL
 
uko sahihi ila wengine atunywi pombe wa la kuvuta misigara wal kwenda ma club ,, tunaishije bila kujifurahisha,, anyway asante kwa kutujali hasa kujikinga ilo nitazingatia sana
 
Ulikula mke wa mtu mbwa wewe
 
Win a
Wina luhala veve...
 
BL kuishi bila ngono ni kazi, tena ninavokutamani wewe
 
Una agenda gani wewe dokta nawezaje kuishi bila ngono au umefungua sehemu ya massage nikufate?
 
kwahiyo na wewe mkulungwa, ulichimba gesi?? Maana umesema yalikukuta πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›
 
Daaah...Graham na mitaro..Wewe jamaa wewe πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜³πŸ˜±
 
 
Coder uhuni upo damuni huwezi acha wewe..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›
 
Kama ambavyo kuna nyuzi humu ndani watu wanashare aina za Perfume/body sprays, sabuni wanazotumia kuogea na nyinginzezo. Kuna haja ya kuanzisha uzi wa aina za condom watu wanazotumia na experience zao. Labda utatuhamisha mabaharia kutumia Condom.
Ni kweli mkuu kuna umuhimu wa huo uzi kufunguliwa maana nasikia kuna condoms og uwa hazipasuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…