habari wadau.. siku moja nilikuwa natoka dodoma kwenda shy kwa bus,, sasa nilipofika singida alipanda dada mmoja mjamzito ila mimba ilikuwa changa na tumbo alikuwa kubwa,, tulipoondoka mbele kidogo ya safari alianza kutapika akaomba tubadilishane sit akae dirishani,, nikakubali nikamuombea na mifuko ya plastik ,, aliendelea vile mwishowe akalegea akaomba aniegemee walau apate kiusingizi.. tulipofika shy mie nikamwambia nashuka hapa ila kama vip ashuke nimpeleke japo hospitali maana niliona hali yake sio.. akanambia hana homa bali ni mimba tu.. nikamwambia kama hatojali nimtafutie pakupumzika hali ikiwa vzur aendelee na safar .. alikuwa anaenda musoma.. akakubali nikampeleka logde tukapiga stori weeee,, huku na huku nikamla tena peku.. sijawahi hata kuchukua namba yake ya simu ila nimemsi kinyama ingawa nilimpeleka stend jion yake akaenda mwanza kwa ndugu yake kwa alivyodai yeye...