The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,436
Achana nae mshamba huyo, anajikuta kanyooka kama yesuYaan nchi isieendelee kisa mm kupost uzi wa ngono we uliona wapi watu wote tukawa na ratba sawa? Wewe kama upo ofsin na ukaamua kufungua mesej la jukwaa la mapenz ni upumbavu wako. Hata JF haikuweka muda wa kupost thread humu hivyo tusipangiane hata hao wazungu wanapost X mda wowote wanaojiskia na wao ndo wanaongoza kwa maudhui ya ngono. FANYA KAZI EUPEKE MAKASIRIKO MADOGO KAMA HAYA