Na Hivi ndio nilivyopata gono
 
Duuhh
 
😅😅😅😅😅
nacheka tu mwenyewe...😅😅
Siku hizi sihangaiki sana kuomba namba za Pis kali..
*****
Hii Pis ya kisukuma nimechukua namba kibingwa sana.. kwanza niliipimia iko inafua na mashost zake, nikaona ntaingiaje kwenye kundi la wanawake saba niombe namba ?

Manzi kakubali kunisaidia kutuma sms kwa mtu eti nampelekea chupa, kumbe nimempa namba yangu mwenyewe ananitumia sms tu bila kujua😅😅

Ona mtego ulivyonasa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…