Nimsaidie nn wakati hela anayo
 
mnajuana vizuri. hayo yooote mtaongea yey hakuambii kama kashachinja kuku ila ngoja utume mzigo kwanza. utashangaa mlolongo wa visingizio unaanza na ikitokea amekuja ndo utakuta swagga izo apo...ndomaana mm naunga mkono busara za wakuu wanaosema apo hakuna namna mwamba achomeke bluetuth kwenye tundu lolote lingine lililokaribu naye.
 
Namfaham.hapa Dar alikuaa ananizungusha zungusha mchez
Sasa mkuu wewe ndio shida na wala sio huyu bibie...... Jibu unalo kabisa kua alikua anakuzungusha kuhusu mchezo,unashindwa kujiongeza kua hataki kukupa Apple,nyie mmetuchosha kabisa,kwani kila siku tunawapa mbinu humu lakini hamtilii maanani....... Mbona kaka zenu hatukua hivyo?
 
Wenye experience zao 🤣🤣🤣
 
Maybe ni ghafla au alipamiss dar 😃
But jifunze kutake easily itakusaidia usipate kisukari mapema samehe ona ni kawaida tafuta solution
Sisi wanaume wa hovyo chini ya uongozi uliotukuka wa kiongozi wetu mkuu mzabzab na msaidizi wake mwaminifu mkuu realMamy tumekubaliana kwa kauli moja mwamba achomeke bluetuth kwenye tundu lingine lolote lililo karibu naye. mwisho wa nukuu.
 
Wewe ndiyo huna akili.. unakubali kuchezewa
 
Usihuzunike si ajabu ukakuta kuna mwamba umemletea na hiyohiyo VVIP, lakini pia usihuzunike sana kuna mwenzako huwa hamkatiagi basi ana take flight. "Jipige kifua mara tatu sema mimi ni mpumbavu, ningemtumia mama angenibariki mpaka kufa kwangu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…