Wataalamu sii mnajua tena leo end month so vijihela vimepatikana. Nikasema ngona na mie leo bodaboda nikaenjoy na watasha masaki.

Sasa nipo hapa water front alooo huyu demu aliyetupokea hapa nimemzimia toto titi tako sura ila sasa mie domo zege nashundwa msaundisha. Najua wana humu wanamjua japo istagram page yake nikatongoze kwa kutumia marimba ya mzungu.
Mzee wa kupambania najua vitu vyako hivi
 
 
Anatumia jina gan insta?
Au weka picha tuone
 
Aibu yako hebu katongoze huko ye mwenyewe anakusubiria umuanze
 
Tupe mrejesho
 
Kuna Kipindi Wife Alileta Za Kuleta Shenzi Nikamrudisha Kwao Akili Zimkae. Kuna Mpangaji wangu sister mdogo tu umri wa kukadiria 22 ana mtoto mmoja wa kiume sasa aliniletea kodi nikampa mkataba mpya kichwani moja haikai mbili haikai huyu dogo nikama alinielewaga since then sema hakuwahi kuniambia chochote huwa nampiga sana tafu ndio alikuwa anaanza maisha in short ile kodi ilinunulia pombe tumekuja kushtuka tumechoka mbaya.Sikuwahi kuendelea nae ilikuwa one match show sababu wife alirudi nikaona mbali kuchanganya magari.The End!
 
Hahaha vipi ulifanikiwa kumweka?
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…