Sitoandika sana nisije nikapigwa ban, ila cha ushemejini kitamu sana.

Kiufupi iko hv, wife kaona nimepoa sana ukali wangu na yeye akaanza kuja juu. Mwezi uliopita kikatokea kisa kimoja eti akaamua kuondoka akaenda kwao, kaniachia watoto nyumbani. Kizuri kuna house girl, nikasema wala sio kesi sababu ni wale housegirl wanaofanya kila kitu nyumbani, hadi nguo zangu anafua yeye.

Sasa wiki jana akaja mtoto wa mamdogo wake alikua anatokea Mkoa X, huwa wanaitana dada dada, lkn kiumri kazidiwa na wife

Mtoto mweupe bado mbichi bichi hivi. Kakaa pale nyumbani siku 2, siku ya 3 nmetoka zangu kupiga vyombo na wadau namkuta peke yake anaangalia Netflix sitting room yupo na nightdress, hizi pombe aisee, sijui ikawaje nashtuka asubuhi mtoto kalala kwenye kitanda changu, tukazimua kingine.

Sasa imekua kamchezo, na ni kitamu balaa. Nataman hata nimuache huyu wife.

NB: Hii ni CHAI ila haiondoi ukweli kwamba cha ushemejini ni kitamu sana

chai.jpg
 
Na ukijua kuna kisa chochote unaconnect dots eeeh? alafu? Unafanyaje mkuu ukihisi ndo mkeo kaliwa kimasihara
Kuna mtu alishafumaniwa humu akielezea namna alivyokula mwanamke aliyesafiri naye toka Iringa to Mbeya kumbe jamaa yake yupo humu.

Hamaa alijitoa kabisa JF kwani demu alikuwa anampigia simu akimueleza adeki geto anakuja kumbe alienda kuliwa na mchizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom