mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,749
- 80,934
DaaaahKuna jirani hapa amedakwa na mke wa mtu, kapigwa vibaya mno kapelekwa hospitali nimeambiwa hapa saivi imebidi alazwe, kavunjwa mguu, mbavu....
mtendaji asingeingilia jamaa angeweza kuuawa aisee
nyie endeleeni....
Hakuna mtu asiyepigiwa sema tu ni kutojua ndiyo maana kwa mwanaume unatakiwa kupiga pia ili ukija kugundua wanakupigia isikuumize sana japo hili ni jambo lisilozoeleka kama kifoAbee
Mkuu hawa watu hawana fomula kabisaaaaNoma sana aloo, kuna moja hiyo naiwazia mpaka leo. Usipokuwa makini ngwengwe ipo pale inakusubiri, unawaza haka ka chuo sio shida, maniner kumbe bora hawa 30+ tunaoishi nao mtaani.
Hakika mkuuHakuna mtu asiyepigiwa sema tu ni kutojua ndiyo maana kwa mwanaume unatakiwa kupiga pia ili ukija kugundua wanakupigia isikuumize sana japo hili ni jambo lisilozoeleka kama kifo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana aloo, kuna moja hiyo naiwazia mpaka leo. Usipokuwa makini ngwengwe ipo pale inakusubiri, unawaza haka ka chuo sio shida, maniner kumbe bora hawa 30+ tunaoishi nao mtaani.
😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi MTU akiniambia mwanachuo tuu naweka pembeni
Asante, nilikuwa sijui..kumbe chuma za chuo sio haba eeh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi MTU akiniambia mwanachuo tuu naweka pembeni
[emoji23][emoji23][emoji23] umegongewa dadeki alafu jamaaa Jana kaniambia PM alimla haswaa najua hiyo siku alikuja amechoka mnooo pole bhana
Wala hana mtu mkuuUlimkuta katoka kugombana na mtu wake ndo mana ukapata kitonga
kwanini mkuu[emoji16]Jirani anikalie mbali.....!
Sana sana, huko ni shida...