Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Ngoja tukaushe tu[emoji3][emoji3][emoji3] dah dem muhuni kakutana na muhuni kaliwa kihuni, it seems dem ni mjanja kuliko mshikaji na mshkaji hana sauti yoyote kwa dem, inawezekana jamaaa yeye ndo aliomba msamaha kama ulivyosema previous post.
Na hicho kiungo kukifanyia maintenance sio mchezo mkuu.Ni kazi ambayo unapata hela kwa muda mfupi sana ndani ya masaa mawili ameshakunja kitita , akiwa na wateja wake watano wa weekend tuuh hakosi 200K weekend na hapo bado bills zote wanaume wanamlipia ( vinywaji chakula )
Nyie makamands bana 😂😂Hahaha jamaa , atakua kaenda mumuwashia moto mdada , harafu mdada anakuja kukuambia imekuaje jamaa kajua?[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787] sema code naona hazikufungwa vizuri .
We jamaa unazingua daah… mnamjaza jamaa upepoToka huu uzi uanzishwe miaka hiyo na kutrend sana for the first time jana fumanizi ndio limetokea, haijawahi kutoke hii kitu[emoji23]
Mambo ya kawaida watu wanayakuaza mkuu[emoji1787][emoji1787] sema code naona hazikufungwa vizuri .
Sorry ya Nini hapo mzee we kwani umeiba? [emoji23]I am sorry bro…
Daaah nyie wazee daaahSorry ya Nini hapo mzee we kwani umeiba? [emoji23]
Asante.Pole
Hahaaaaa, jamaa hakuwa serious anatania bwana. Ni chai hii usije ukaua mtu huko.Dah mapenzi, mapenzi, mapenzi.
Unaogopa nini mzee hawezi kukupiga hatujuani humu sema atakuheshimu sana. Wewe yako ndo imekuwa kimasikhara hasaWe jamaa unazingua daah… mnamjaza jamaa upepo
Wewe utani wa hivyo mpe moyo tu mwamba lakini code kazi unlock akatajiwa mpaka jina la manzi plus chuo anachosoma ikawa mulemule.Hahaaaaa, jamaa hakuwa serious anatania bwana. Ni chai hii usije ukaua mtu huko.
Kwani ameoa Sasa ? hata kama anamaindi. Jamaa awe amuache au atulie tuu.Wewe utani wa hivyo mpe moyo tu mwamba lakini code kazi unlock akatajiwa mpaka jina la manzi plus chuo anachosoma ikawa mulemule.
Halafu useme utani ebu kuwa serious bwashee
Na mimi ngoja nifunguke Jinsi nilivyomla kimasihara Mtoto Malkia yule aliyepanda basi la Abood toka Moro to Dar tarehe 1../09/2023 akaingia Dar Saa 4 Usiku.Wewe utani wa hivyo mpe moyo tu mwamba lakini code kazi unlock akatajiwa mpaka jina la manzi plus chuo anachosoma ikawa mulemule.
Halafu useme utani ebu kuwa serious bwashee
Me wala sikupania mkuu vitu vimejiset automatic vyenyewe ila daah Nimejisikia vibaya sana aisee…ila ajikaze tu me mwenyewe wahuni washanigalagaza sana kwa pisi zangu napiga moyo konde nasonga mbeleUnaogopa nini mzee hawezi kukupiga hatujuani humu sema atakuheshimu sana. Wewe yako ndo imekuwa kimasikhara hasa
Ila we mhuni unanichekesha sana daaah yan leo mmekuwa kina Jesus Christ sio ?Toka huu uzi uanzishwe miaka hiyo na kutrend sana for the first time jana fumanizi ndio limetokea, haijawahi kutoke hii kitu[emoji23]
Mkuu qangekuja watu wa chai wanisaidie aisee jamaa asije akaua mtuHahaaaaa, jamaa hakuwa serious anatania bwana. Ni chai hii usije ukaua mtu huko.