NILIVYOMLA DEMU MUCH KNOW KIZEMBE SANA
Siku moja nipo zangu Road natoka mihangaikoni namuona dada mrembo nikamsalimia akakausha ...so ikapita kama week hivi nikakutana nae maeneo karibu na ninapoishi ,sasa nikamkaushia na sikushoboka kabisa .
Sasa yeye akanipa hi mi nikatingisha tu kichwa..sasa jioni yake naenda zoezi nikqkutana na mdada tumuite Paula .namjua nikampa hi nikqmtania pale akafurahi sasa nafika uwanjani naona simu inaita kucheki Paula nikapokea akasema unamjua Nai (code) nikamwambia hapana aka sema eti ameniuliza kumbe wewe unaongea na unachekaga?? Nikamwambia mpe namba yangu
Nimepigq zoezi nikarudi home nikapika ugali na samaki sasa nimekula ukabaki na kesho nina mishe mingi nikasema subili nitoke nje nikikuta madogo niwaite wale ugali sasa ghafra nikapata wazo nimpigie Paula anipe namba ya yule dada Nai....
Paula akasema namba yangu alimpa labda amkumbushe ili anipigie nikasema poa ...sasa after five minutes namba mpya inaingia ..nikapoke
MIMI.. nani wewe
YEYE..nai rafiki yake Paula
MIMI ...Upo wapi
YEYE... nipo sinza nimefqta chakula
MIMI ...chakula tena ??njoo ule basi hapa geto ugali samaki mi umenishinda ..chukka boda nitalipa....
YEYE poa
MIMI .....nikamielekeza akatimba
Waungwana mtoto ni mtamu balaa na hapa tunavyongea ameendq kwao kucheki mazingira ili aje mazima night yote hiiiiiii......Chakuchekesha anasema naonekana Mpole sana harafu naringa Sanaa...ninadhqrau na najisikia sana....
Sent from my SM-A145F using
JamiiForums mobile app