Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 295
Hata mods wakiufuta huu uzi wako watakuwa wamekusaidia sana kuokoa maisha yako.Imagine mme wa huyo mke aliyemleta mtoto kusoma Musoma Alliance kama.yumo humu akausoma uzi wako ni wazi atajua tu kwamba leo mke wake amemegwa itakuwa kizaa zaa kwake na kwako.Naipenda nchi yangu Tanzania.Mods na huu Uzi pia muufute?Kwa kiufupi nipo na mke wa mtu tulikuwa tunachat toka mwezi uliopita.Nilimuomba game na Leo kafika musoma na kumkabidhi mtoto.Usiku huu uda si mrefu nakula vitu.Yeye ni mwenyeji wa kule Kwa jiwe.
I stand to be corrected....
Men don't kiss and tell, wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kuvunja miiko yetu.Mods na huu Uzi pia muufute?Kwa kiufupi nipo na mke wa mtu tulikuwa tunachat toka mwezi uliopita.Nilimuomba game na Leo kafika musoma na kumkabidhi mtoto.Usiku huu uda si mrefu nakula vitu.Yeye ni mwenyeji wa kule Kwa jiwe.
I stand to be corrected....
Ukiendelea kumuangalia tu utaonekana huna nguvu za kiumeJe nisipomla pia si watanidharau kuwa sijiwezi?
Nimecheka kiseng...tena ya moto
Hilo Jina ukilotaja la edo kuna uwezekano huyu mwamba namfahamuCarlos the jackal (edo)
Mtu anajiita MamaSamia2025 halafu mke wake mzito sana kitandani,mmhNiko nje ya mada kidogo wakuu;
Mbona siku hizi mke wa jirani yangu kawa mzito sana kitandani? Tatizo linaweza kuwa nini? Au nifanyeje?
Kwahiyo baada ya Kufanya Ufuska ndo uzi ufutwe. Acha roho mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mods na huu Uzi pia muufute?Kwa kiufupi nipo na mke wa mtu tulikuwa tunachat toka mwezi uliopita.Nilimuomba game na Leo kafika musoma high school na kumkabidhi mtoto.Usiku huu muda si mrefu nakula vitu.Yeye ni mwenyeji wa kule Kwa jiwe.
I stand to be corrected....
Niliakula tena nilijua ataninyima mtaroni kumbe nae fresh tuKwahiyo baada ya Kufanya Ufuska ndo uzi ufutwe. Acha roho mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwamba Umefaidi sana... n[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Niliakula tena nilijua ataninyima mtaroni kumbe nae fresh tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani usipomla huyo ntakuona kama NGOFA (ng'ombe iliyokonda) inayokunya huku imelala