Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Kila day nakulaga tunda kimasihara,natania kidogo kesho keshokutwa tunda Kwa ubichiiiii kabisaaa
 
Mods na huu Uzi pia muufute?Kwa kiufupi nipo na mke wa mtu tulikuwa tunachat toka mwezi uliopita.Nilimuomba game na Leo kafika musoma high school na kumkabidhi mtoto.Usiku huu muda si mrefu nakula vitu.Yeye ni mwenyeji wa kule Kwa jiwe.
I stand to be corrected....
 
Mods na huu Uzi pia muufute?Kwa kiufupi nipo na mke wa mtu tulikuwa tunachat toka mwezi uliopita.Nilimuomba game na Leo kafika musoma na kumkabidhi mtoto.Usiku huu uda si mrefu nakula vitu.Yeye ni mwenyeji wa kule Kwa jiwe.
I stand to be corrected....
Hata mods wakiufuta huu uzi wako watakuwa wamekusaidia sana kuokoa maisha yako.Imagine mme wa huyo mke aliyemleta mtoto kusoma Musoma Alliance kama.yumo humu akausoma uzi wako ni wazi atajua tu kwamba leo mke wake amemegwa itakuwa kizaa zaa kwake na kwako.Naipenda nchi yangu Tanzania.
 
Mods na huu Uzi pia muufute?Kwa kiufupi nipo na mke wa mtu tulikuwa tunachat toka mwezi uliopita.Nilimuomba game na Leo kafika musoma na kumkabidhi mtoto.Usiku huu uda si mrefu nakula vitu.Yeye ni mwenyeji wa kule Kwa jiwe.
I stand to be corrected....
Men don't kiss and tell, wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kuvunja miiko yetu.

Ila ingefaa utumie code kuelezea kuliko unavyo expose, maana mwenye mke anaweza kukonnect dots na akafanikiwa kukupata
 
.
 

Attachments

  • cup-of-tea-teapot.gif
    cup-of-tea-teapot.gif
    157.7 KB · Views: 66
Back
Top Bottom