Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo.

Sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake, sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
 
Acha ujinga basi kuna dogo amempa mimba mdogo wake wa kike mama yao anaondoka kazini anawafungia ndani wajisomee na kuangalia TV kumbe watoto wameanza kukulana mda sana ile likizo ya form 4 mtoto wa kike anakitumbo
ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni
 
Nyie mnaweza hisi mmekula kimasihara lkn kwa wadada wengi ni tunakua tumeplan kwamba hapa lzm nimpe au lzm nionje au akitaka tu sikatai

Na ndo maana wapi wengine walijaribu kula kimasihara na hawakufanikiwa

Waambie hao hawajui km wao ndio wanaliwa kimasihara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo,
sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake
sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
Tafuta kijisababu umpakue
 
akianika chupi zake chukua moja sepa nayo gheto uone kama atarudia

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo,
sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake
sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
Na wewe iba hzo chupi
 
[emoji3][emoji3]kimasihara inaanza hivyo jiongeze
 
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo,
sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake
sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
Unataka mpaka ailete ameifunga kwenye kifungashio ndio ujue kwamba anataka ule? We jamaa vipi bana?
 
Nawe iba chupi yake moja.
Pia acha uzembe piga huyo
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo,
sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake
sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
 
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo,
sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake
sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
Nenda kutafute Sox chumbani kwake

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom