Duh....mzeee baba paroko anakula kondoo...
 
Duhh astaghaffirlah
 
Kuhusu 3x sina hakika Kama ni kweli ilikuwa hivyo
 
Sisi tunataka kula tunda kimasihara, arafu wewe unatuletea kutongoza kimasihara..

Tuelewane vizuri, kula matunda kimasihara ni ile hali ya kutumia ishara na kula tunda mda huo huo pasipo kuzungumzia jambo lenyewe sana..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunataka kula tunda kimasihara, arafu wewe unatuletea kutongoza kimasihara..

Tuelewane vizuri, kula matunda kimasihara ni ile hali ya kutumia ishara na kula tunda mda huo huo pasipo kuzungumzia jambo lenyewe sana..
 
Hahah mkuu kuanzia leo nimekupa cheo cha major sajent
 
Baharia tutakutoa kwenye chama chetu, huna sifa za kuwa mwana chama kwa hali hii..
 
Hahaha dahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…