Hilo duka halina uhai mrefu mkuu.
 
[emoji23][emoji23] alikua ashakolea ,mimi pia nikiwalaga lazima nicheze napo pale,yani wanaongezaga hadi speed ya kukatika,alafu kuna mmoja nikitaka kutoa tu anakwambia usitoe [emoji23],,yani kama una manzi yako basi we mfanyie tu hivyo, otherwise atakutana na maniga kama sie atapagawa [emoji23]
 
Nilivhogundua
Walevi wa pombe wanafaid sana
Pia pesa nayo inashawishi sana
Ila.haiba ya mtu ni silaha kubwa
Pombe+pesa+ haiba=masihara kibao.
Pombe=hulegeza mkiwa eneo
Pesaro= hupumbava vudemu
Haiba= huvuta

Nini kinabaki hapo. Kula tu

Kwahiy sisi ambao
No pombe
No pesa
No haiba
Tunapitia kipind kigum sana
 
Umeongea kwa uchukungu sana
 
Inawezekana alikuwq na mimba na kaitoa kwa njia isiyo rasm so makab ndio yanaleta shida na dyudyu yako ikayatifua......!!
 
na
mafuta ya nazi ulinunua bila shaka
 
Watu nomaaa yaniii... mnanonya hadi vinenaa... πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Unatishaaa asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…