Singida, kateshi, hydomu na some parts za mbulu plus karatu
 
Cookie Paw ....threads kama hizi mzitoe mapema sana zinavunja sheria za kujiunga hapa JF
Hii ndio type ya Wanaume wa JF kweli🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️Ndio maana tunaogopa kua serious ..unakutana na Mwanaume wa JF yuko too romantic..smart..humble and very wealth 💰but ukiyawaza haya unajikuta unaghairi uku moyo unawish kua nae..Ila ukiwaza Brand yako kuja kudhalilishwa apa jukwaani

Hmm inasikitisha kwakweli🤦‍♀️
 
Huyo ni mvulana na sio mwanaume,

Usichanganye,
Wanaume hatupo hivyo.
 
Kijana inaonekana ulikuwa na upwilu sana... kupewa siku moja unatangaza ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…