[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani, kwann lakinii???
Mtani kumuona huko mwenzie mpuuzi wakati na yeye pia anamzengea huyo mdada wa kazi hawana utofauti hapo.

Wote sawa tuu. 😂
 
Mwambie dadaako, usikubali shemeji yako akuchukulie demu wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ayaaaa.... Unapotezaje mtaji kama hivo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie ningekuwa ndiye huyo shem wako ningewatafuna wote wewe na house girl ili uache wivu wa kipuuzi.!
 
Mwachweni mwenzenu vumilia tu uoate njia yakutoka kwa shemeji yako.
Katafute hela uoe utulie mambo yakulala na watu huwajui watakupatia maradhi ya kudumu
Huyo atakae muoa anamjua? Si wataaanza hawajuani kama kwa huyo house helper
 
Umuue kirusi kwa spirit
Una akili wewe
 
Uko sahihi sana Kuna mambo mengi watu wanafanya na mazito sana sema wengine hata hawataki kujulikana, nizijua ethics za mambo ya afya ndo maaana kweny hiyo kada ikitokea Kuna makosa yamefanyika huwa unaona watu wanavyolalamika sema ndo ivo kila mtu na maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…