Hapana siyo sawaHata na wewe pia.
Sana yaani Mkuu. Na hapo likisanuka dada wa kazi anatimuliwa.Yaan madada wa kazi huwa wanafanywa gombania goli...hata wanaume wawe wa4 wote wanataka wamchakate..
Sasa wivu wa nini hapo? Unaandika kama umelewa. Yeye au mimi mwenye wivu? Yeye si ameoa? Acha upuuzi basi.Wivu tu. Yaani wewe unataka kuachanisha ndoa ya dadaako. Ondoka kwa wenzio kenge wewe.
Huyu anamlazimisha tu lakini dada wa kazi mimi ananipenda ananikubali sana. Mambo mengine wasichana wanaonewaga tuSana yaani Mkuu. Na hapo likisanuka dada wa kazi anatimuliwa.
Imagine ndio awe kaka yako [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]A man from kericho
Duh,vijana wa kizazi kipya yaani unaapia uzinifu kweliKuna mwanajeshi mmoja nitamla tu katika hii miaka kumi ijayo[emoji848]na asipokua makini nitamzalisha kabisa
Wanajeshi mliopo kwenye huu uzi naomba radhi
Kwenye huu uzi umefata nn ww baba paroko [emoji848]nenden jukwaa la siasa mvunje mkataba wa dpDuh,vijana wa kizazi kipya yaani unaapia uzinifu kweli
Hayo matusi. Uwe na luga ya kistaaarabuKosa la kwanza,kosa la kiitifaki....
Kuishi kwa shemeji Yako....
Inaonyesha ameku-degrade sana kukuambia "unaingia tu bila kupiga hodi" ....na umemkuta katika mazingira tata.
Amekushusha hadhi kwa kuwa unakula na kulala kwake...
Pili.... mwanaume anaejitambua hawezi kufanya huo ujinga...mf. nikukukute na demu...nikamwambia mkeo!? Ili iweje labda!?
Unataka kuvunja NDOA YENU!...Yes ...nimemaanisha NDOA YENU!....Maana mmeolewa wewe na dadaako!
Chunga sana maana maana akifukuzwa yeye...mmefukuzwa wote!