Haujakosea mkuu😊😊
 
Kweli umekua gentleman ila sasa kwa akili za mademu lazima anajiuliza kama uko sawa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Oya ,unataka kumpiga pumb na mafuta ya mwamposa Tena,mbona vijana umevurugwa sana😄
 
Ashakusoma kwamba ukila tunda lazima umpige chini
Huenda alishatendwa huko nyuma na akaumia hataki yamtokeee tena
Ndo wale unakuta anasubiri mume aliyepangiwa na Mungu
 
Siyo yule muimbaji wa kwaya Aict ambaye mmewe anafanya kazi Ggm na Wana gari aina ya brevis?
 
Kama
 

Attachments

  • Screenshot_20230620-230251_PLAYit.jpg
    87.3 KB · Views: 98
Shusheni hizo essay za ki joke joke sie tusomee hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shusheni hizo essay za ki joke joke sie tusomee hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna instagram account inaitwa Muregi; madem wa Kenya wamefunguka sana kuliwa na Uber Drivers

Nasubiri kusoma hapa testimony zenu mkitoka Kidimbwi na Tipsy.
 
Achana na issue za kubaka. Ni kosa mbele ya macho ya Sheria. Mmeshawahi kutoka pamoja mka kae au ndio unamalizia maongezi barabarani?
Muombe tu akupe nafasi siku moja mwende sehemu umwambie nia yako thabiti kwake akikataa mwache baadae atakutafuta mwenyewe. Saikolojia ya wanawake iko hivyo. Ukimuonesha kumtaka/jali/penda sana wengi husumbua.
 
Habari za asubuhi wapenzi. Naomba kujuzwa hii staili ipoje, Kuna jamaa nimekula hela yake ndefu, nataka nikafanye retirement weekend ili ikiwezekana ahonge nyumba kabisa
 
WAKUU HABARI ZENU..

MUNGU MWEMA.. TANGU JANA NIMEFIKISHA MASAA 24 TOKA NIKUTANE NA MWANAMKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI.

TAYARI NIMESHAANZA KUNYWA PEP TOKA JUZI.. KIUKWELI HIZI DAWA NDO MARA YA KWANZA KUNYWA KAMA WATU WANAVYOSEMA KWELI ZINAMAUDHI SANA ILA SIJUI KUOTA NDOTO MBAYA SIJAONA KIUKWEL.

TOKA NIMEANZA KUNYWA NIMEKUTANA NA MAUDHI YAFUATAYO:

1. NAPO KUNYWA TU DAWA HUWA SIMALIZI LISAA NAJIKUTA NIMESINZIA USINGIZI MZITO SANA

2. TOKA NIMEANZA KUNYWA DAWA IKIFIKA SAA 9 USIKU WAKUU KWANZA NASHTUKA HAPO SIPATI USINGIZI TENA MPAKA KUNA KUCHA

3. IKIFIKA SAA 9 MCHANA AU 10 NAPATA USINGIZI WA AJABU AMBAPO NIKIAMKA LAZIMA NINYWE MAJI KOO HUWA KAMA LIMEKAUKA HIVI

4. MWILI KUHISI UVIVU, KUCHOKA CHOKA NA KUHISI KICHEFU CHEFU.

HIZI ZOTE NILIAMBIWA NA DOKTA ZINAWEZA KUTOKEA NA KWELI ZIMETOKEA BADO NAENDELEA KUTUMIA DAWA PEP SO TUOMBEANE WADAU AJALI KAZINI HAZIKOSI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…