Hawa Bk-3 miaka hii wanakuja na ufundi kutoka kwa Maza zao huko [emoji52][emoji58]

Anambiwa akipata gepu apte na faza house. Sasa INAHITAJI umakin sana sana sana yaan wanaume tumezngirwa na mitego sana miaka hii hadi majumbn kwetu
 
Cha ajab siku hizi back3 wanaliwa Sana na bodaboda na mangi dukani.

sisi tusiwaguse lkn ukifuatilia bodaboda wanawala tena humohumo chumbani vyumbΓ ni. Kwenye jumba lako humo.

iwe bandani, chumba Chao au cha watoto.


kwengin wanakaangiwa Hadi ma eggs
 
Nikapnda kitandn nikalal nacho nzungu wa nne mara kikaanza baba nackia baridi nikakaa kimya sikujib kitu....... TATIZO LILIANZIA HAPA NIAMINI MIM ....🀣🀣.. dah staki kutia neno hapo
 
Naomba nikulize swali .... kwani mtu akiajiriwa hawezi fanya biashara?.... pili mtu akiwa na miaka 55 hawezi kuwa na mtoto wa mwaka moja au chini ya hapo? ..... ngoja nikwambie humu ukijaribu kutafta ukweli katika kila jambo utaishiq kukosoa karibu kila post hmu labda nikushauri wew ukikuta stori pitia au la kama huja penda pita πŸ‘‰πŸ‘‰ wengine tuna penda chai ukizingatia haliya hewa
 
Acknowledge kuwa ni chai hakuna atakayekusumbua. Ila ukidai ni true story tunakuchimba! Usisahau hiyo ndiyo raha yetu
 
Acknowledge kuwa ni chai hakuna atakayekusumbua. Ila ukidai ni true story tunakuchimba! Usisahau hiyo ndiyo raha yetu
Nimegundua kila moja humu ana starehe yake ... wengine sisi tunapenda kusoma tu stori yeyote itakayo tuvutia vitu vya mtandaoni usivhukulie serious sana
 
Unapata faida gani kwa kudanganya? Unatafuta likes & quotes?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…