Hujasema alikufundisha vp mkuu namna ya kutongoza!
 
NADHANI NI KIWANDA CHA A-Z
 
Mzee baba ulijitoea katika kina kirefu tunataka vijana kama nyinyi wenye maamuzi yanayoleta Tija kwa Taifa na secta ya Mabaharia
 
Daaaa yaaani kweli ukiwa baharia kuna wakayi unatakiwa ujidai mwema sana !! Lakin unavuta subira ...usitake kupaparuka aise salute !!
 
My brother inamaana enzi za uvulana hizi incidence hukuzipata??
Nyie ma legend mna stori matata saana.
Haha, hatukosi lil bro, shida tu hii platform tukianza kumwaga tulivyopita kimasihara itakuwa noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…