Ungefia ktandan kak, afya kwnza k zipo tu
Hata nilikuwa najua basi kama mwili unapoa....Jasho linatika lakini mwili baridiiii..nshamfatilia tangu 4m4 anakuja kunipa nipo chuo tena ghaflaghafla nikasema Acha ata nikailoweke tu.
Ila tulikuja kurudia na mmakonde yule...jamani miuno feni..popote ulipo huko bado nakukumbuka.
 
Mkuu toba ya kweli ni wewe na Mungu wala sio na wanadamu. Kama umetubu katika kweli Kwa Mungu inatosha.
 
Ungekufaaa


Mzee wa bibo
Ila lilikuwa ni somo Zuri kwangu na kwenu pia kuwa ukipiga metakeflin au dose yoyote ya maleria..sema tu nguruwe pita mkuki sina.

Ila tuache maskhara una dose ya maleria af mtu anayekusumbua kishenzi anakwambi haya njoo...kwa uroho wetu ni waxhache sana watakaosema nguruwe pita. Ila tujifunze kukataaa wanaume.
 
Don't try this at home or anywhere kwa ambao hawajawahi kutana na bwana Pepsi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We jamaaa ni mshenzi saana.

Dah.....
 
Kimasihara nyingine huwa tunaliwa wanaume bila ya kujua. Kunga dada mmoja na office mate, alivyohamia nilimpiga sound kimya kimya akabana licha ya kuwa tukikutana ofisini tunakumbatia na kumshika nitakavyo hasa tukiwa wawili. Hivi karibuni alianza kuwa ananisifia sana mbele za watu wa ofisin kwake mara napenda kifua chako, ohoo umependeza. Wiki moja alikuwa nje ya mkoa kikazi nashangaa ananipigia simu saa 12 asubuhi na kuniomba nimtumie email fulani wakati muda wa ofisini ni saa 2. Last week nilimwambia nimtoe lunch ila sitaki mtu ajue akaja kimya kimya parking tukasepa, siku hiyo ndio akafunguka kuwa alikuwa na genye ya kufa mtu akanipigia simu ila alikosa cha kuongea, kaahidi kunitunuku tukiwa safari ya mkoa furani very soon. Wakati tunarudi kufika parking tunamkuta bosi wake anaongea na simu ambaye pia namla kimya kimya. Pona yangu aliogopa kushuka akasema nimuache kwenye gari hadi bosi wake aondoke.
 
As expected na mna bahati mngekutwa na wale chokoraa wanaozengea(ga) hiyo sehemu hamngetoka salama[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Futa jina la dispensary (for privacy).
 
Hayupo Kaka uku saiv kuna msemo watu wakifulia wanaenda Kwa Baba Kayoko Kula ngenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee Mzee ukija tena tuchekiane bhna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poa chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…