Ila nikisikia Kwa masikio yangu kabisa mdada akisema anataka kuzaa na MWANAUME mwenye muonekani mzuri Ili mtoto wake awemzuri
hii tabia ikishamiri itakuwa tatizo
Hii tabia ipo na wanasema moja kwa moja bila kujivunga.
 
Hawa wanawake wala shisha siwaamini kabisa,usikute uliopoa kimalaya kinachojiuza.
 
Ibgekuwa sura na uzuri basi simba asingekua anang,oa pis kalikali vile na anabadilisha atakavyo.ibgekua sura bas hemed angekua na lundo la warembo ila sabab maskini anawapata level yake tu
 
Ukiwa na hela madem utawala sana [emoji1787][emoji1787]binafsi hizi hela zangu chache nimeamua nijihudumie mwenyew na nistay singular
 
Sema hii siyo masihara umetongoza kabisa mkuu..nafikiri Rikiboy aeleze upya maana ya neno kimasihara.
 
Aisee naona wanaume wanajisifia sura dalili za ushoga hizo....nendeni tiktok ndo Pana wafaa
Tatizo wenyes sure personal mnaumia sana mkisikia hiiπŸ˜€πŸ˜€

Walaumuni wazazi wenu kwa kuchaguana wote sura ngumu kama trakoo la nyani..

Sifa ya mwanaume ni kazi siyo sura ngumu..nyambaaafuπŸ˜€
 
Hawa ma HB waliwe kimasihara
Tatizo wenye sura personal mnaumia sana mkisikia hiiπŸ˜€πŸ˜€

Walaumuni wazazi wenu kwa kuchaguana wote sura ngumu kama trakoo la nyani..

Sifa ya mwanaume ni kazi siyo sura ngumu..nyambaaafuπŸ˜€
 
Di... Aston Villa
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€fanya mambo mkuu
 
umetamka sahihi ni Narrow Bee Fly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…