Umetisha saana.

Sema hii picha inaweza leta shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata ww hii TOM FORD OUD WOOD ulikuwa unatumia copy yake na sio OG, Kwasababu original yake inaanzia 500,000/=.

USA: from 190$
Canada: from 390$
South korea: from 206$

Hii ni premium perfume, copy yake ndo inacheza kwenye 200K-300k
Mi niliagiza france mwaka jana almost 1.672. A million
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji1787]hizo zenu nahis zile zinachangwa na maji fake





Eeeh mungu nisamehe kwa dhambi hii ya leo
 
Nimekula mademu wawili kimasihara within two days,i felt so bad wazee naona haya sio mambo yangu,acha niokoke tu,nimepata guilty sana mpaka nikalia.dah
Hichi kitu juzi juzi imenifanya nikazima simu na kuamua kusali Kwa siku saba.... Mpaka sasa nikiikumbuka scenerio roho inakataa kua sio Mimi nilitenda tukio tarehe 2 April... Uzinzi haufai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangekukamata ungejila😂😂😂😂😂😂
 
UDSM siku hizi kuna vourse ya Nursing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…