Duuh
 
Ahahaah kamanda [emoji23][emoji23] kipindi hicho Cpt Moshi alikuwepo ??? Maana ametusumbua sana yule jamaa.

Afu unakutana na Afande Rambo mzeee qa mateke ya angani angani sio poaa
 
@deepond njoo uone mwizi wa mchepuko wako wa Mbagala Kajileta mwenyewe.
 
Story Yako imenikumbusha 2015 nikiwa Arusha, Kuna mama mmoja mrefu mweupe amejaza vya kutosha nilikuwa nakula pale lkn sikuwa na mazoea nae.
Ukame ulikuwa ni wa mda mrefu Sana, siku moja nilimfata akiwa anaongea na najamaa mmoja hivi, akainuka tukasogea pemebeni nikaomba Namba akanipa baada ya mda nikapiga akapokea Nika mwambia kuwa nimemuelewa akasema tuta ongea baadae.
Usiku alinipigia na kuniuliza ujasiri ule nimeutoa wapi maana wanaume wengi wanamuogopa kwa jinsi alivyo na mm nikapata ujasiri zaidi nikasema wewe ni mwanamke kama wanawake wengine.
Nimejilia kwa mda wote ule nilikuwa Arusha, na mwaka 2021 nilirudi Arusha na yeye hakuwa Arusha ilibidi aje nilikaa nae hotelini kwa week nzima najilia tu.
 
Mbona ana vikuku miguu yote miwili
 
Alafu mwanaume huyo anawaset tu. Hata mimi nina ID 2 za kike humu nawachora tu akina mzabzab wabavyonijia PM kwa fujo. Hakuna mwanamke humu Tz anayeweza kuja kwa kasi hivyo kwa nyuzi na kujilengesha namna hii.
Kwahiyo unaamua uingie kama dume na muda mwingine uingie kama jike, halafu unajitangaza tu pasipo aibu yeyote
 
Hii kimasihara imenoga sana.
 
Wewe huwezi kuwa mwanaume maana umepoteza sifa za kuitwa mwanaume na ikiwa una ID za kike huku ukijisifia Labid maalun wahed ww.
 
Sure Mkuu, tupo mikoani tunatafuta kwa ajili ya familia zetu, yeye anajisifia ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…