Kama anajijua yeye sio mzuri kiuandishi NINASHAURI " Ni heri apige kimya asisimulie story yake"
Humu ndani kuna watoto wana miandiko migumu sana kuisoma, Imagin mtu anaandika ofc, sn. Kwakweli utoto huu hauvumiliki
 
Kwan Walio nyanduriwa ni dada zako wa Damu??? Unaumia ukiwa pande za wapii na ushamba mwingi ulonao? Au ni udogo wa elimu? We ulivyo pigiwa makofi kwa kuandika Dictation nzuri juz darasa la 4 ndo unaona ushamaliza maisha unakuj kukosoa watu ambao wana elimu zao ila uzito wa kuandik kw kufuata alama na wepesi wa kuwahi muda kw kuandika vifupi ndo unahis hawajasoma...Fuckin Chicken Head..! Watoto mko weng sana kwny huu Uzi..Im out📌
 
Mkuu leta visa hata niwe nasoma pekee yangu ambae muandiko haumuwezi aache aanze kusoma za miaka ya nyuma mbona ziko nyingi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kama anajijua yeye sio mzuri kiuandishi NINASHAURI " Ni heri apige kimya asisimulie story yake"
Humu ndani kuna watoto wana miandiko migumu sana kuisoma, Imagin mtu anaandika ofc, sn. Kwakweli utoto huu hauvumiliki
Hujalazimishwa kusoma aisee unaweza kuacha na kusoma vingine, mwache awe na uhuru wa kuchangia alichonacho. Wewe hupangiwi ya kufanya ndiyo uje kupangia wengine. Hebu ishi kama mtu mzima
 
Mkuu leta visa hata niwe nasoma pekee yangu ambae muandiko haumuwezi aache aanze kusoma za miaka ya nyuma mbona ziko nyingi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Dah Hakikaa Mkuu nimekupata kwa Moja na Moja Namba..Aise umenena hapo kn Pages 1k na somethings back anaweza zirejea taratibu akihisi tunamuumizia macho..💪
 
Kwa mwandiko huu pia unaonekana nawe ndo walewale, una elimu ndogo kijana usipimane na mimi. Kajifunze kubishana kwa Hoja ndo uje tena
 
Huu uzi ni burudani.. Unapoleta kisa hakikisha unatuburudisha.. Siyo unaandika andika tu, bora ubaki na masihara yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…