Kwani machoko huwa yana hamu na mademu?
 
Mtumishi umekula mzigo ki taita saana.
 
Anaichafua saaana

Zambi zote Sawa Ila sio hii. Hii hapana.

Nakasirika kinoma.
Duuh bas yaishe, nlitaka kukuhoji kitu.

Ushasema unakasirika kinomaa, means unatumia hisia na sio logic.

Nweiiii relaaaaaxxx, kila mtu anaish atakavyo yeye binafsi, ili hali havunji kanuni na sheria za nchi,

Poleeeeeeh kwa kuendelea kukasirika, maana mashoga ndo wana ongezeka kila kukichaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa mama. Ngoja tuendleee kusoma visa vyetu vya masikharaaa.
 
Mjukuu....

Usikabe mpaka kona basi....

Acha mabaharia angalau wapige kona zao kwa amani....

By the way, pole na kipigo cha mbwa koko mlichopewa na Waarabu jana [emoji16][emoji16]
Babuuuuh yaan wee achaa tyuuh

Janaa baada ya goal LA pili ule mpira tulochezewa ilibidi niwe nawashangilia Raja, adui akikushinda ungana nae.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afadhar sisi 3, vipers walikula hamsaa. Uwiiiiih
 
Umenikumbusha mbali Sana mkuu, hiyo guest inaitwa bondeni Kama sikosei. Wenyewe tulikuwa tunaita "kwa Madina". Tumeitumia Sana hiyo na washkaji zangu tukiwa na videm vya chuo cha maji au UDSM. Chumba cha mlango wa nyumba ndio kilikuwa chumba changu pendwa.
 
Nakula kitimotooooo sanaaa, tena kwetu tunafuga wenyewee, mie ndo mlishaji waoo, msafisha zizi, etc

Hebu fanyaa kilo 2 mkaango uwe vyediii.
Hadi mate yamenitokaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wew msafi hivo mfuge kitimoto ngoja nifanye masihara yangu kwako nile boga. πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…