"Advance betweeen her legs'' hahaha kwa hiyo ulituwakilisha vema internationally
 
Duuuh we jamaa unaandika/ unasimulia fresh, uandishi flan hivi attractive.

BTW ulichukua namba kwa matumizi ya badae?
 
''kaka yake na wadogo zake waliamua kwenda kukaa nche huku wakipiga stori wao kwa wao mimi waliniacha nimekaa sebuleni''
Dah..... hii chai mbona moto sana? Umekula mtu sitting room!!? Na ndugu zake wako nje!
Achana na maamuzi ya kichwa cha chini mkuu.
 
We jamaa umekomaa kinoma kupinga ukweli..hujui lisemwalo lipo..ww kama ustaz wako kpnd unasoma madrasa hakukuchezea mshukur Mungu inshaalah ila waliochezewa usiwakatalie ku'confess hapa
Unajua maneno ya uongo huumba kweli ila mtoa uzi kaongopa inabidi tumsahihishe mkuu kwan dhambi kusema
 
Huu msemo wa proboscis...we jamaa utakuwa umesoma SUA tena VET
 
Kuna Dada alikuwa kila akiniona anaoenda sana kuniamkia siku hiyo nikamuuliza unaniamkia unataka kuninyima nini!!?

Binti akasema nakuheshimu Ila siwezi kukunyima chochote nikamuuliza kwa hiyo nikiomba utanipa!!? Akasema ndio nitakupa.

Nikamwambia naomba namba yako ya simu akanipa bila ubishi. Kumbe kuna rafiki yangu alishaomba mzigo ila alinyimwa , Nikamwambia Leo nataka nikusindikize mpaka kwenu.

Dah for the first time i had sex in my car yesterday yaani hapo tulipokuwa ni karibu kabisa na kwao huyo mrembo ukizingatia anakaa kwa baba na mama.

Ila nimepanga nijenge kibanda maana show jana ilikuwa ya kibabe sana nakosa hata mistari ya kuielezea kwa undani zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…