Wala sio dawa!!

Hawa viumbe tatizo mnawachukulia kama vile wametoka mbingun .

Wanapenda Ngono sanaaaa kuliko hata sis wanaume.
Kweli aisee.....wanawake wanapenda sanaa ngono maana wao ndo hupata utamu sanaa....siku moja demu flani nilimuliza hivi nani anaenjoy sex kati ya me na ke akasema ke nikamuuliza kwasababu ipi wakati me ndo anapampu...akasema weka kijiti sikioni ni kipi kinasikia raha sikio au kijitii....heheheheee??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alikupa Jibu mujarabu
 
Kweli kabisa bro...Yan umeongea reality kabisa,mwanamke atabaki kuwa mwanmke n siku zote lazima awe mdogo kwa mwanaume...kikubwa ni kujiamin tu bas utawala mno
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee jamaa confidence yako hapana aiseee khaaa...
 
ndo sisi sisi kwel wa mtaani,ila wewe jamaa sijui hata kitu gani kinakufanya ujiamini
 
Hail carlos jackal ametufundisha jinsi ya kuzifakali hizi mavitu mi nitajaribu kichupa kikijaa vizuri πŸ˜΅πŸ˜€πŸ˜€
 
ndo sisi sisi kwel wa mtaani,ila wewe jamaa sijui hata kitu gani kinakufanya ujiamini
Wewe wahisi nakitu gan Cha kunifanya nijiamin?.

Mwanadam anatakiwa ajiamin kutokea Ndani ya Moyo wako, sio Kwa sababu ana hiki Wala kile ...what if vikiondoka?.

Kwa mantiki hiyo kuna Moja ya Bidada ni ana cheo cha kuchaguliwa na Saa100, ila navyomplekesha Sasa !!

Akinletea ujinga, namchana, Baki na cheo chako, na Kila kitu chako, Sikutakiiii!!.... Alafu Sasa, sijawah hata muomba Mia, ni Mimi tu Mara Kadhaa nimempelekea hiki, nmenunulia hiki, nimesuprise na hiki basi anafurahi !!.


Atanibembeleza kuanzia Asubuh mpaka kesho yake .


As A Man ,ni lazima ujiamin no matter what .

Wengine watahisi kisa Mimi ni Daktari, Noooooop !!!! Kuna Ma Daktari wengi alafu waogaaaaa Sanaa ,wengine mpaka wastue Pombe ndo anakua na Ujasiri !!.

Ukweli nikwamba, Mwanaume lazima ujiamin katika Kila jambo, sio tu Mahusiano.

Hata Ivo Mimi ni keusiiiiii macho kama mjapan , kembamba ,Huwa najikuta modoo ila ukweli ni wembamba tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona hawaonyeshagi we umejuaje mkuu au kwa vile umewala sana una experience sio
Ndio sababu nmesema ,ukiwajuaa .

Mwanamke yoyote hapendi kuzungumza Ngono kwasababu Wanawake Cha kwanza

1--Hapendi kuonekana Malaya
2---Kama ni Mke wamtu hapendi umshobokee kimapenzi au yeye akuonyeshe anataka mashine mbele ya macho ya jamii.

Lkn ukiwakuta kwenye Maisha Yao ya pekeao, Jitoe ufaham, muingizie Maneno ya Ngono.

anaweza jifanye kukutukana ila wee komaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…