Aligombezwa sana.....na akapokonywa simu " ila kabla hatujaachana aliifuta namba yangu na sms zote then nikamfanyia setting ya notification ili sms zisiwe zinaonekana zitakapokuwa zinaingia..........。。pia tulikubaliana kwamba sinto mtafuta mpaka pale atakapo anza kunitafuta yeye.......So Juzi ametoka kunicheck tena amesha rejeshewa simu....

It seems like kamenogewa so kana taka tena mechi.....
Duuuh vipi alipofika home alikupa feedback kipi kiliendelea huko?
 
3. WAGANGA WA KIENYEJI.
Hawa pengine ndiyo wanaoongoza kula tunda kimasihara. Kwani wanawake wengi huliwa bila kutegemea kipindi wakienda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji.
Kuna Picha nimeiona WhatsApp mganga kamchojoa Nguo Binti Mrembo tu FIGA FIGALI anamshikashika huyo mrembo akiwa uchi wa mnyama na nyingine Mrembo kachutama kama anajisaidia haja ndogo kwenye chungu!!
 
Mamaeeee....heheehh
 
Jumapili haiwezi kuwa njema, bila kula tunda kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…