Mkuu kwa singida hujala kimasihara,ndio maisha yalivyo kule [emoji1]
 
Hii ni bitch tu mkuu,ameshaaanza kukuonyesha ASD ( ant slut defense) nawewe umeanza kumuamini [emoji23]
 
Hii chai aisee wazeee.
Engineer gan ana mwandiko mzuri hivi..yaan kama wale wanaoandija simulizi za mapenzi..
Babu hii mbona kama hadithi ya mapenzi sio kimasihara
 
Crazy sometimes.
 
Pole mzee baba hiyo ni changamoto ndogo tu na huenda hofu yako ndo ilikuweka katika mazingira hayo

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
MKumbuke Yusufu na mke wa Pontifa (alikimbia dhambi hiyo) ma hata mwanaume mwingine anawwza hata wewe!
 
Pole mzee baba hiyo ni changamoto ndogo tu na huenda hofu yako ndo ilikuweka katika mazingira hayo

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Aaha may b mzee maana nilikomaaa nikawekaa kimojaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui wengeee piaa maana alikuwa anakomalia mpira balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…