Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ngoja na mimi leo nichangamshe genge..
Last week niko zangu ndani ya Ratco express natoka Tanga kwenda dsm,kushoto kwangu kuna binti kavaa vikuku miguu yote miwili na baibui lenye nakshi za kituruki na miwani ya kichokozi,mikono imejaa piko kama mwali wa kidigo...

Safari ikaendelea,kwa kawaida huwa sinaga shobo safarini,yaani ni wale mikausho mikali..sasa kufika msata chombo inakunja kuitafuta bagamoyo binti akaongea...
"Kaka samahani simu yangu imeishiwa na salio naomba kama una salio nimpigie mwenyeji wangu"

Nikamuuliza kichokozi "Ni mwanamke au mwanaume?" Akatabasamu kisha akajibu.."Ni dada yangu bana" nikampa simu...
Basi ikabidi nichomekee kwani unashukia wapi? Akajibu bagamoyo..na ndio maana akawa anamtafuta mwenyeji wake kwani anakaribia kushuka...

Kweli bana gari baada ya kutoka mizani bagamoyo tunakunja keep left ya bagamoyo akashuka..akaniaga then akashuka...(mkumbuke sijaomba namba)

Zikapita kama siku mbili simu yangu ikaita.kupokea nasikia sauti ya inayotokea puani.."Hallow asalaam aleikum.." Mmmh nikaguna kabla sijajibu..baadae nikaitikia nikauliza "Nani mwenzangu"...

Kumbe ni yule binti...alichukua namba yangu kwa dada yake..kufupisha story..si mnakumbuka niliwaambia binti alivaa vikuku? Basi hakuvaa tu urembo..ni bata hasa...

(Anonymous...)
stori tamu ila hujamalizia aliliwaje kimasihara
 
Hii si uongo ni story ya kweli , miaka nane imepita kipindi naish zangu knyama .. mtaa niliokuwa na kaa kulikuwa na kigenge kimoja alikua anauza mdada mmoja wale watu wanawaita andunje au watu wa fupi ... oyaaa mtoto alikua kafungasha balaa sasa mara ya kwa

Kwanza naongea nae nikamtania "aaah mchumbaaaa " akajibu we mtoto sana kazi huiwezi wewe ebu sema nikuudumie nini uende " nikacheka sana nikamwambia " ebu nipe namba yako ya simu ntakupigia ... kama zali akaandika .. hahaha basi nikawa nawaza nipige nisipige , baadae nikamwona kwa mbali kama anakuja unakuja upande napo ishi ilikua usiku , nikampigia nikamuulisha " ushafunga ofisi nikupe show ..

" kama zali akaitikia nipo njiani naondoka sema upo wapi nije .." hii oya ingekuwa wewe ungefanyaje .. aaah nikamwambia " angalia mbele " huju nanyoosha simu kwa juu anione , akaja hadi pale nikampitisha mlango wa uwani akazama hadi.getto .. oyaaa wazee nilipiga show .. kesho akarudi tena .. ikaenda wiki nzima .. baadae baba mwenye nyumba akanipa notice eti naingiza watu wa ajabu kwenye nyumba yake .. na hapo ndo nilipoama siku ktafuta tena
baba mwenye nyumba wivu tu 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣
 
Wakongwe vp aisee? Jana nimefelisha chama shubamit zangu..Jirani amekuja magetoni kuangalia sinema zetu mpaka usiku mkubwa..,ile nataka kuanzisha kimasihara tu,,mtoto kawakaaaa na kuamua kusepaa,,,kafika kwake kajifanya kunitext sms ya kuomba msamaha..ipo siku yake
[emoji23][emoji23][emoji23]akakunyima alf anaomba msamaha
 
Nakumbuka wakati nipo kwa Wazazi alikuja Msichana, kwa kweli kumuona hadi mapigo ya Moyo yakabadilika.... ila kumpata ndo ikawa kipengere.

Sasa kufika usiku yule Binti katika kupiga piga stori nae nikaamua nipakue Video za Ngono maana tulikua wawili Sebuleni, nikazipakua alafu nikawa naangalia ila lengo kuu nilitaka nae aone, kwa kua nilikua mbali nae kidogo akaniuliza UNAANGALIA NINI nikamjibu NJOO UANGALIE NA WEWE akakubali akaja, kadri anavyoangalia nilikua nikimshika anatulia tu, peleka Mkono Kiunoni katulia, peleka Mkono Kifuani katulia.

Nikaona shughuli imeisha pale pale Sebuleni nikamaliza kazi, baada ya hapo ikawa rahisi tu nikitaka Show chap anarukia Chumbani, ila aliyemuoa nathubutu kusema anafaidi maana ana balaa la peke yake
ana balaa gani tena chief tujuze
😀
😀😀😀😀🤣
 
Miaka hiyo nikiwa kijana nisiye na majukumu ya kifamilia wala kitaifa.
Maeneo fulani wilaya ya Kinondoni, eneo nililokuwa nimepanga kulikuwa na nyumba kadhaa ndani ya uzio mmoja.

Siku moja ijumaa nikiwa nimetoka kibaruani, nakutana na jirani anabembeleza mtoto karibu kabisa na kibaraza changu. Nikamsalimu na kumuuliza hali ya mtoto. Alinijibu kwa kifupi kuwa amepatiwa chanjo - zile za mapajani hivyo zinamtia homa na udhia.

Nikaingia ndani kwangu ili kupumzika. Majira ya saa mbili nikatoka ili niende kutafuta chakula kwa Mpemba; muda huu nikakuta tena mtoto anabembelezwa lakini hakuwa mama wa mtoto ila mdogo wake ambaye naye alikuwa mwanafunzi kwenye chuo kimoja hapa Mzizima.

Naye pia nikamsalimia, akaitikia kwa uchovu, huyu binti alikuwa anajisikia kwa namna fulani hivi, sikujali sana nikaenda kula.

Niliporudi bado nikawakuta tena hapo, safari hii hata sikumsemesha ila yeye ndio akaanza kwa kulalamika ''yaani huyu mtoto nimemweka begani masaa mawili; nikimshusha tu analia. Nikampa pole na kumuomba nimsaidie kumbeba. Nikamweka dogo begani, huku nikimtikisa. Binti akapata ahueni na kuniambia kuwa anaenda kuchukua chakula hivyo nimsubiri hapo huku nikiwa nimebeba mtoto. Hapo muda unaelekea saa tatu usiku, binti akala na kumaliza; stori mbili tatu za hapa na pale huku uda unasogea. Majira ya saa nne na nusu hivi dogo akawa amelala.

Binti akaniomba niende na mtoto maana alihofia kama ningemrudishia inawezekana dogo akaamka. Nikakaribishwa mpaka sebuleni na kumshusha dogo kwenye sofa.

Nikapewa asante na mama mtoto pamoja na mdogo wake; nikarudi kwangu.

Asubuhi; siku ya jumamosi majira ya saa tatu napigiwa hodi; kufungua mlango ni yule binti wa chuo; mkononi ana bakuli na kikombe cha maziwa kikiwa juu ya mfuniko wa bakuli. Akanikabidhi nami nikashukuru. Kufungua bakuli ndani kuna bagia za moto; nikabaki natabasamu huku nikianza kula bagia kwa maziwa moto.

Baadaye binti akaja kufuata vyombo; nikasifia bagia kuwa ni nzuri na tamu, huku nikimtaka anifikishie salamu kwa dada yake. Binti akajibu kuwa dada ametoka. Akiwa ameshafungua mlango akauliza ''hivi umesema bagia ni tamu?'' nikamjibu ndio....Binti akacheka na kusema ni nzuri, vipo vitu vitamu ila sio bagia. Hapo sasa nikaropoka ''bagia ni tamu na aliyepika pia ni mtamu'', binti akasema wewe kaka una balaa, mpishi umejuaje kuwa ni mtamu?....Nikamwambie njoo nikuonje.

Akanitazama na kuniambia napeleka vyombo; jiandae.

Dakika kadhaa binti amerudi; wakati huu hata mlango hakugonga...akapita na kukaa kitandani kabisa huku akiangaza kushoto na kulia. Akauliza wifi yangu huwa haji hapa; nikamkaribia na kumbusu shavuni huku nikimnyanyua kwa kumvuta mkono; binti hakuwa na kipingamizi; akanyanyuka...hapo sasa nikapata nafasi ya kumkumbatia na kumbusu vizuri, huku nikimtomasa maeneo ya tumbo na kupapasa mgongo.

Maandalizi ya hapa na pale, binti akajilaza begani kwangu; huku akisema nilikuwa nakuona upo serious sana ujue...sikupoteza muda nikamwangusha kitandani, nikavuta khanga aliyokuwa amevaa; kumbe ndani hakuwa na chochote zaidi ya shanga kaka kumi na nne hivi zilizokuwa zimejaa kiunoni mwake. Pandisha juu tshirt huku na yeye akipambana kuitoa boxer.

Asubuhi ile nikala bagia pamoja na mpishi wa bagia.

Baada ya siku tatu napishana na dada yake getini akanisalimu kwa kuniita shemeji huku anacheka.
Wewe ndo uliliwa kimasihala
 
Hivi yule mwamba aliye tom b a kichaa aliishia wapi??yule sasa ndio kabeba huu uzi woote yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule anaitwa mikito mikito hakuishia hapo alitomba kichaaa akatoaaa mba jambazi alafu akatoaa mba mchawi alieenda kumkaba/kumroga, yule jamaa ni bingwa sijui yupo wapi mikito mikito hata mimi naona yeye ndio bingwa wa huu uzi akishibdana na yule jamaa mwingine alietomba nguruwe 😂😂😂😂😂😂😂
 
Kina show na demu wangu jiloekulaga kimasihara ila ameolewa zake huko dar

But this December atakuja mkoa niliopo show za kibabe sana
Anakujaga na mafuta yake ya nazi kwa ajili ya massage na kuchezea asshole inakuwaga bonge la show

Wakubwa mkiskia mtu amefia guest mkoani msimu huu wa sikukuu mjue ni mm kv -london
mafuta ya nazi tena kwa ajili ya kuchezea asshole?? kuna usalama kweli??? au ndiyo tope lishaliwa🙄
🙄🫣🫣🫣🫣
 
Yule anaitwa mikito mikito hakuishia hapo alitomba kichaaa akatoaaa mba jambazi alafu akatoaa mba mchawi alieenda kumkaba/kumroga, yule jamaa ni bingwa sijui yupo wapi mikito mikito hata mimi naona yeye ndio bingwa wa huu uzi akishibdana na yule jamaa mwingine alietomba nguruwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]watu wana matukio ya ajabu sanaView attachment 2481584
20221227_134729.jpg
 
Wakongwe vp aisee? Jana nimefelisha chama shubamit zangu..Jirani amekuja magetoni kuangalia sinema zetu mpaka usiku mkubwa..,ile nataka kuanzisha kimasihara tu,,mtoto kawakaaaa na kuamua kusepaa,,,kafika kwake kajifanya kunitext sms ya kuomba msamaha..ipo siku yake
Huyoo anazugaa tu ionekane hujamlaa kirahisiii next time muwekee ponooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gari... mtego noma sana.

Jana jioni natoka Mpiji kwenye msiba wa jamaa yetu mmoja hivi. Njiani naona binti shombe shombe kavaa na ushungi kabisa kapendeza safi. Pale alikuwa anasubiri usafiri. Mbele yangu kama mita 15 kulikuwa na Bajaj ikaenda pale kumchukua. Baada ya kuona kinachoendelea pale dem akijiandaa kupanda Bajaj nikapiga honi huku naanza ku overtake na dem akaniangalia nikampa signal ya kuja. Dem akaacha kupanda Bajaj na mie baada ya ku overtake nikasimama pembeni mtoto akaja.
Nikamuuliza unaenda wapi akasema Mbezi basi nikamwambia twende.
Wakati tukienda mdogomdogo huku tunafahamiana ndio nikajua ni kutoka visiwani. Baada ya story kadhaa nilimuuliza swali (nalipenda sana hili swali huwa ni starting gear) mume wako hajambo? Akasema sijaelewa, basi nikamuuliza mchumba wako je? Akasema sijachumbiwa...ohh nikamuuliza mshikaji wako je akasema sina. Nikamwambia basi unahasira (nyge) sana inabidi tuzipunguze. Basi pale nikahamisha mkono kwenye paja huku napapasa huku naendesha slowly. Mpaka nafika Mbezi mtoto hoi na akakubali nikafanye yangu[emoji28].
Hatukwenda maana nilijifanya nimepokea simu ya dharura ambayo lazima nikaifanyie kazi. Basi nikamuomba tufanye kesho (leo) akakubali kwa moyo safi. Baadae vi sms vikaanza kama kawaida vya mahaba.
Mrejesho..
Hapa ilibidi nikimbie mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23].
Siku iliyofuata hatukuonana. Siku ya pili kabla hatujaonana nikaanza kupewa conditions ambazo ni-:
1. Achague Lodge anayoijua yeye na lazima iwe Sinza
2. Nihakikishe nimekula nimeshiba.
3. Nitafute kabisa vumbi la Congo kwakuwa starehe yake kubwa ni hiyo nisije muangusha.
4. Nimuandalie 200k
5. Niende na pakti 2 za ndom maana style anazopenda sometimes zinapasua ndom

Baada ya hapo nikamwambia sikuwezi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mrejesho..
Hapa ilibidi nikimbie mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23].
Siku iliyofuata hatukuonana. Siku ya pili kabla hatujaonana nikaanza kupewa conditions ambazo ni-:
1. Achague Lodge anayoijua yeye na lazima iwe Sinza
2. Nihakikishe nimekula nimeshiba.
3. Nitafute kabisa vumbi la Congo kwakuwa starehe yake kubwa ni hiyo nisije muangusha.
4. Nimuandalie 200k
5. Niende na pakti 2 za ndom maana style anazopenda sometimes zinapasua ndom

Baada ya hapo nikamwambia sikuwezi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Hahahaa mzee ukaona isiwe kesi
 
Mrejesho..
Hapa ilibidi nikimbie mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23].
Siku iliyofuata hatukuonana. Siku ya pili kabla hatujaonana nikaanza kupewa conditions ambazo ni-:
1. Achague Lodge anayoijua yeye na lazima iwe Sinza
2. Nihakikishe nimekula nimeshiba.
3. Nitafute kabisa vumbi la Congo kwakuwa starehe yake kubwa ni hiyo nisije muangusha.
4. Nimuandalie 200k
5. Niende na pakti 2 za ndom maana style anazopenda sometimes zinapasua ndom

Baada ya hapo nikamwambia sikuwezi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Duhh 200k tena ..??? Anauza au ..??
 
Back
Top Bottom