Uzi kumbe ushakuwa wa kiduanzi namna hii!! Watu wanalioishwa Ili wasimuliwe matukio ya ngono (ya kutunga). Halafu ukute kuna tujamaa tubalipa.
Halafu huto tujamaa tukiombwa na mama zao elfu 50 tu hatuna!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwa hiyo kila mleta story awe appreciated kwa kuchangiwa bundle or smth?

Mnaharibu flow nzuri, well wachangie bundle sisi tutasoma...
 
Huu uzi umekimbia sana sababu ya mtumishi, mahubiri yamepunguza sana speed za masihara.
 
Hizi kimasikhara nyingi watu hawatumii kinga na wachache wanaotumia wanazikumbuka katikati ya story! Swali langu ni kuwa mbona hakuna anaesema alitia mimba??
 
Mkuu una akili za kibakaji, umerudia uliyofanya kwenye ule Uzi wako kuvamia mtu bafuni,ukiendelea na hizi pigo huna muda mrefu mtaani

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hizi kimasikhara nyungi watu hawatumii kinga na wachache wanaotumia wanazikumbuka katikati ya story! Swali langu ni kuwa mbona hakuna anaesema alitia mimba??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…