Na kama wiki 2 nyuma kulikuwa na training fulani ya wakaguzi

Nilikuwa kama wewe. Lakini nilipo kutana na Yesu nililia na kuomboleza kwa kuwa nilikuwa mjinga na mpumbafu nilitubu na kuwatubia wote nlofanya nao upuuzi ili niwe huru na mke wangu. Nisiwawaze wao nikiwa na mke wangu. Asante Mungu kwa kuniwezesha na kunifuta ktk kitabu cha hukumu na kuniandika upya ktk kitabu cha Uzima. Naskia uchungu kwa Ajir yako maana naona unachekelea kumbuka kuna kulia na kusaga Meno hakuna ufahar juu ya uasherati. Lakini Yesu alienikomboa mimi akukomboe na wewe. Maana u ktk kifungo, Nafsi yako imefungwa na shetan anaitumikisha anavotaka wala si ww bali vifungo. Usomapo Msg hii Moto Ulao ukateketeze hiyo Roho ya uzinzi na uasherati ika Ng’oke na Hofu ya Mungu ikatawale. Hakuna uzinzi tena kwako uwe huru.

Nasubir ushuhuda wa hii kwa wote watakao soma. Yupo mmoja Mungu atamfungua.
 
Jamaa habari za huko utokako kwema lakini?
 
Aliyemwambia tunataka kuokoka nani?
 
Mrangi tena nani anakataaga
 
Bro hakuna uzinzi, Mungu ndie muumbaji, unahisi He was Crazy creating a Pu**y and D**ck??!. Anyways utakuja kushtuka badae ukiwa wasted. Sali kwa ukimya na tubu kwa ukimya sio haya makelele ya Khanga za Pwani. Tuendelee kusifu sio kuzihaki. Uzi huu hauhitaji ukombozi.
 

Huyo mmoja wala sio wewe. Ni swala la Muda tu hata Yesu alitemewa mate kwan kunatofauti na comment yako relux tu roho yako itakuja kukushuhudia tu. Si mm tena bali Mungu.
 
Aliyemwambia tunataka kuokoka nani?

Kwan wokovu ni mtu anaamua kausha we piga mbususu kipo kilio. Mshahara wa dhambi ni mauti. Ndo nyie baiskel au torol linakugonga njian unakufa. Kazi yangu ni kuomba mwenye kufungua ni Mungu akikukubali safi akikutosa safi pia mapenzi yake yametimizwa. Yesu alikaa na makahaba,na wenye dhambi wala sio kosa mi kuwemo humu. Namtafuta kondoo mmoja tu
 
Jamaa habari za huko utokako kwema lakini?

Amani Kabisaa. Hakuna magonjwa, hakuna ajari, nalikuwa kipofu sijui dhambi wala sion dhambi sasa naona, kuna uzima, naijua kesho yangu, na uhakika wa kuishi miaka timilifu na ikibid kuongezwa kama ntazid kumfurahisha Mungu kama Ali Poa Muongezea Hezekia. Ndugu zangu wanalindwa na Bwana, hakuna kulogwa, mashetani yakiniona yanatetemeka. Yote haya ni kwa sbb Yesu amenipa Neema. Hiyo Neema kiu yangu uipate na ww. Ila kwa mapenzi yake Mungu maana Mungu hachanganywi. Hivo nitokapo Ni kwema na sitoki kwa Yesu maana ni kwema
 
Bw Tafuta Uzi unaokufaa
 

Why umetaja mpaka sehemu anayofanyia kazi
 
Kijana wa MARIST BOYS sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…