Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Tunashindwaga kusema hii sio kimasihara boyfriendwang alikuwa ananiogopa mno alaf kumbe mm nilikuwa namzimia balaa baada ya muda siku aliniomba niende kwake aisee nilijiandaa kabisa huwa tunatakaga bhna
Yani acha kabisa, wajikoki tayari Kwa mashambulizi. Yani Mimi kama sijakupenda, ata utumie mbinu gani ya kunila kimasikhara hutaweza.
Kama ikitokea tumeachana basi ni Mungu tu amependa tusifanikiwe kuitengeneza njia pamoja.
 
Kweli kabisa dear
 
Kuna namna mtu unakutana nae first time lkn kamoyo kanadunda mwingine call tu unaanza kuhangaika lakn mwingine Yan hakushtui kumuhitaji kimapenz
Mara ya 1 kamoyo kanapekecha,,, watamani hata asiondoke . Lakini nenda kwa yule usiyemuelewa Sasa. Watamani hata simu asipige, unakaa wasonya tuu
 
mzabzab vp hiyo connection umeinyaka!
20220612_171110.jpg
 
Back
Top Bottom