hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,263
- 80,029
HahahahahNarudi kianza hapa...
Alafu kuna wanawake wameliwa kimasihara wanapita huu uzi kimya kimya...[emoji23][emoji23].
Wengine tunaona hadi mnatumia browser daadeki...[emoji23]
Mje hapa mseme...njoo hata kwa ID mpya tutawapokea tuu..