Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,503
- 14,789
Unajaza notifications kwenye uziSasa basi,
Hiyo siku mvua ilikuwa inanyesha,,
Itaendelea...........
Napokea maoni,niendelee au nisiendeleeeee
mzabzab
Unajaza notifications kwenye uziSasa basi,
Hiyo siku mvua ilikuwa inanyesha,,
Itaendelea...........
Napokea maoni,niendelee au nisiendeleeeee
mzabzab
Baada ya ku graduate nimerudi zangu bomani,katika harakati za kusaka ndogondogo nikafungua ka movie library cha kiwaki tu pale, series zilizo tafsiriwa +miziki na single movie.
Wakati nategatega pale kuna msista mmoja pisi kali akawa mteja angu zikaivana sana,kuzoeana.
Dogo langu alikua std4 kukawa na kikao shule ikabidi nikamuwakilishe Mazaa maana hakuwa fresh na mzee hajuagi hata majengo ya shule tunazosomaga zaidi ya majina tu. Kufika kwenye kikao ndo namuona yule msister amekaa pale mbele kumbe ni ticha bana, kikao kikaisha pale tukasalimiana nikamtambulisha dogo nikachukua na namba zake.
Tukawa tunawasiliana, ndo akaanza kutaka kunijua vizur nlikuaga wapi maana amehamia pale kitaa 2 years na hajawahi niona nikavimba nlikua zangu napambania degree yangu akashangaa kinoma maana uhuni mwingi sifananii kabisa na mtu alosoma (mlofika Arusha 360 kule mnaelewa culture).
KULA TUNDA ;kuna siku kanicheki jmosi anaumwa+stress yuko mpweke kama naeza nimpelekee movie angalau asukume muda. pc yangu nikaeka kwene begi nikamuacha mkali wangu ofisini, nikanunua matunda ka ya 3000 nikaibuka nikamkuta kanywea nikatoa pc nikamwambia leo angalia kitu cha tofauti
nikamwekea ma love story ya kutosha nikampa na matunda pale akashukuru akasema afadhali maana hajala tangu asubuh. nikamwambia ngoja nikupikie mgonjwa, nikapika tukala tumemalza akaenda oga karud na kanga tumekaa kwene sofa moja naona mtu kapandisha miguu kaniekea mapajani. (Mtoto wa kiha dark skin hana hata upele).
Nikaona asilete ujinga.. movie linasonga nikaanza mpapasa kwa miguu kunakuna unyayo naona ananiangalia kama yupo kwene kitanzi, shikashika magoti-mapaja-K hii apa.,..nkaskia tu KUKU WAKO MANATI YA NINI [emoji28][emoji28][emoji28]. Nikawa mpole sasa maana nlikua na ugwadu ...taratibu romance nikaka kwene kiti kama nguzo ya TANESCO ikiangua nyumba miguu ipo chini mtoto akakalia shokapu kaanza nesanesa (nkajiuliza hivi huyu ni yule mgonjwa kweli au ) geuzana geuzana pale mara chini mara kwa kiti nikapiga kimoko
Show ikahamia chumbani nimekuja toka pale saa 3 mwepesiii..
JE MAHUSIANO YALIDUMU;baada ya kula tunda ndo tulianza mahusiano by that time nilikua 24 years yeye alikua 32 nikifunga ofisi saa 3 ;30 ntaenda nakuta msosi tunakula wote nakaa had saa 6 night au 7 ndo narudi home mda mwingine nalala huko...Maza akaja jua kambi mpya nlopata alikua anamaindi kinoma maana anasema yule ni mkubwa sana nikakaza kichwa,dem nae tukaenda kwao nako mzee wake nae mtu wa matabaka.
Tulidumu for 2years tukapata mtoto mmoja..broo akanishtua muongozo wa job nikasepa zangu uchugani tukaja shindwa kuendelea sababu za kifamilia nlimuelewesha na move on akanielewa ..tunawasilina vizuri sanaaaa.
Daaah ushanilia Rehema wangu, kila weekend anarudigi babatiMwezi uliopita nilikuwa na mishe moja Babati. Nikafika stand mapema kabisa, mida ya mbili asubuhi kuwa hi basi. Ilikuwa siku ya jumapili. Abiria walikuwa wa chache sana siku hiyo, Ile naingia tu kwenye gari konda akaniambia siti yako hiyo hapo, alikuwa amekaa Dada mmoja mzuri tu, anafaa kwa matumizi ya binadamu.
Kulikuwa na baridi ya kutosha tu. Dada niliyemkuta hakuwa na koti, na baridi ilikuwa inamtesa sana.
Baada ya salamu nikavua koti langu nikamwambia naomba ujisitiri nikampa koti. "Heee wee Kaka, na wewe itakuwaje, nikamwambia hakuna shida"
Gari ilikaa sana stand, hakukuwa na abiria siku hiyo, ilikuwa jpili. Gari imetoka Arusha saa Sita Mchana, hapo baridi linanipiga balaa.
Muda wote huo kila mtu ameuchuna tu. Tumefika minjingu, dada wa watu anapiga miayo ya kutosha, namuuliza nini shida, akasema si unajua nimefika stand mapema, sikunywa hata Chai, naona njaa imefika mahali pake. (nikasema huu ndio upenyo niliokuwa nakuhitaji ) Nikamwambia usihofu, ukifika nitakupeleka sehemu ukale, kumbuka hapo amevaa koti langu.
Tulipofika tu Babati, nikachukua bajaji hadi sehemu moja maarufu, kwa Kabila, agiza kuku choma, lete vinywaji, mdogo mdogo(hapo Dada wa watu ashakuwa comfortable na mimi kama tumejuana miaka kadhaa iliyopita).
Tukala na kunywa, tulipomaliza nikamwambia hapa Mimi ni mgeni (nikamdanganya) ila nimepewa na number ya lodge ya kufikia na rafiki yangu, twende na wewe ukapafahamu ili kesho ukitaka kuja nisipate shida ya kukuelekeza (wote vicheko) Akasema hakuna shida.
Tumefika lodge, tukaingia, anaanza mimi nawahi, home wananisubiri. Nikala tunda Safi kabisa, mtoto msafi hadi raha. Rehe... You are the best. Hii itarudiwa Tena nikija Babati. Kwa gharama yoyote
NitagSumba ikifungwa,nitakuja niandike kisa changu,
Usinitch ..and snitch get stitchesNipo nje ya mada ila ni sehemu ya kimasihara, kumega kimasihara shemeji au pisi ya msela ni usela mavi? Nauliza kwa sababu tayari nimeharibu na kitu ni taaamu balaa.
Watakufwata sana inbox kuomba mzigoWamefanyaje??
Nistoe yangu
Hivi mjomba wako umeachana nae?mbona yeye ukimpa wape na wana wafaidiWatakufwata sana inbox kuomba mzigo
Kuombwa mzigo imekuwa jambo la ajabu.!!!Watakufwata sana inbox kuomba mzigo
Kula mwangu Aman shemej alfu histoshe Alisha kuumiza dada ake Apo aki sawaĶama hukumlaga sister wake sioni shida. Endelea kujilia vyako.
Anko hatuko kiviiile ni km tunaishilia ishiliaHivi mjomba wako umeachana nae?mbona yeye ukimpa wape na wana wafaidi
Mtamu kinoma, usipimeDaaah ushanilia Rehema wangu, kila weekend anarudigi babati
Ahadi Ni DeniSumba ikifungwa,nitakuja niandike kisa changu,
Duuuuh kumbe! Yaani vivulana vya humu[emoji50]Watakufwata sana inbox kuomba mzigo
Si ulisema hukuwahi na wala haitatokea ukaliwa kimasihara...?Nawaleteeni story jamani,msinifukuze kwenye uzi wenu
We Acha tuDuuuuh kumbe! Yaani vivulana vya humu[emoji50]
Pole sana Chief, na hongera kwa kufaidiMiaka kadhaa nyuma nikiwa jobless baada ya kumaliza hii mnayoita elimu ya juu, nikawa naishi kwa braza ili kuangalia namna ya kuendesha maisha.
Ikafika muda wa kumpeleka mtoto wake shule katika mkoa mmoja wa kaskazini mwa hii nchi yetu kubwa. Nikapewa hili jukumu la kumsindikiza huyu dogo shule, ukiwa jobless ukipewa jukumu walau unajisikia vizuri kama mwanajamii.
Basi baada ya kukamilisha taratibu zote, nikawa nipo na dogo kwenye basi Ubungo bus terminal kwa ajili ya kuanza safari. Dakika chache akaingia dada mmoja akiwa na mtoto wa kiume, akanisalimu na kisha walikaa siti ya pembeni yangu tukitengwa na korido.
Tukiwa safarini hawa madogo wakaanza kama kuzoeana hivi kiasi cha kuongea na kuanza kupeana vitu kama biscuits na tambi.
Tukajikuta mimi na huyu dada tunatazamana lakini bila kuongea chochote. Maeneo ya Lugoba basi ikaingia kwenye sehemu ya kupata huduma za chakula na huduma za maliwato.
Dada akaniambia anaomba nimsaidie kuongozana na mtoto aliyekuwa naye kwenye vyoo vya wanaume. Baada ya kumaliza, nikawa nafanya utaratibu wa kununua chakula na vinywaji kwa ajili yangu na kwa ajili ya hawa madogo.
Kurudi kwenye gari nikawapanga hawa madogo kwenye siti mbili za upande mmoja na mimi nikakaa siti moja ya upande mwingine, dada akarudi akiwa na mifuko ya chakula na vinywaji na kukuta nimeshabadili mpago wa kukaa. Hili la kubadili mpango wa kukaa nililifanya kimkakati kabisa.
Akiwa anashangaa nikainuka ili kumpisha apite siti ya dirishani,alinishukuru kisha akasema ''naona watoto wameshazoeana na wameamua kukaa siti moja''.
Kuanzia hapo sasa tukawa kama familia moja, stori mbili tatu nikajua kuwa yule ni mtoto wa dada yake naye pia anamsindikiza shule japo ni shule tofauti.
Baada ya stori mbili tatu tukawa tupo comfortable sana, huku vicheko na vitendo vya kushawishiana vikishamiri, Katika safari mara kadhaa katika mazungumzo dada alikuwa ananilalia na mimi nikajiongeza kwa kucheza na mkono wake huku nikiminyaminya viganja vyake, papasa mgongo mpaka ikafika mahali akaniambia naona unatafuta password. Tukajikuta tunacheka tu.
Hatimaye tulifika jioni kiasi na kukuta wawakilishi wa shule husika wakiwa wanatusubiri. Mimi nikamkabidhi dogo kwa mwakilishi wa shule yake na dada naye akamkabidhi dogo kwa mwakilishi wa shule aliyekuja kumpokea.
Tukabaki tunaangaliana, dada akauliza wewe mwenyeji kidogo hapa. Nikamwambia ndio, kisha nikamuuliza una mpango wa kurudi Dar kesho tufanye mpango wa kukata tiketi kabisa? Dada akajifikiria kisha akasema, hapana mpaka keshokutwa hivi nataka walau nitembee kidogo katika huu mji.
Kwa kuwa nilikuwa naujua vizuri huu mkoa kwa kuwa niliwahi kufika hapa mara kadhaa, nikamwongoza dada mpaka kwenye Lodge moja classic karibu kabisa na stendi. Tumefika mapokezi naona dada ameketi kwenye siti huku akiwa hana habari. Nikafanya malipo ya chumba na kisha nikampa ishara huku tukiongozana na mhudumu.
Kufika room, dada akajitupa kitandani akilalama kuhusu uchovu wa safari lakini pia baridi, mimi nikaingia bafuni kuoga, nimetoka nikabadili nguo, dada naye akaingia bafuni na kuanza kuoga.
Ametoka bafuni akabadili nguo kwa kujifichaficha huku akiniambia ‘’fumba macho usije kuota bure’’.
Tukaenda kupata chakula cha usiku huku dada akisistiza kulipa yeye, tumemaliza kula tukarudi room huku wote tukiwa kimya.
Kufika room kila mmoja akawa anakitamani kitanda, mimi nikatangulia kuingia kwenye blanket baada ya muda dada naye akajisogeza ndani ya blanket akiwa na pajama na tshirt.
Akanipa mgongo ukiwa akiniuliza maswali mawili matatu, baada ya muda akageuka tukawa tunatazama, nikasogeza mkono na kuweka chini ya shavu la huyu binti huku mkono mwingine ukitalii kwenye mgongo wa huyu binti kuelekea kwenye bambataa.
Binti akajisogeza tukaanza kubadilishana mate kwa ufundi wa hali ya juu, huku nikiwa nimehama mgongoni nikipapasa vilima viwili vilivyosimama vyema juu ya kifua cha huyu dada.
Hii michezo iliendelea mpaka tukajikuta tupo watupu na tukifurahia kitendo adhimu cha kupeana raha.
Kwa baridi la ule mkoa kwa kweli zile siku mbili ililkuwa ni furaha tu. Nikajua nimepata mpenzi, binti akaniweka wazi kuwa ameshatolewa mahari.
Tumerudi mjini hapa akaendelea kunipa tunda bila hiyana japo nilikuwa jobless.
Baada ya muda nikajikuta mwenye kundi la whatsapp la send off ya huyu dada nikitambulishwa kama rafiki. Hatimaye binti aliolewa, pazia likafungwa.
Et mi buyu tu hahahaNina kijirani changu tumepanga nae nyumba moja, mgeni hana muda toka kahamia hapa, ni mtu wa kwenda kazin akirudi anajifungia ndani hana time na mtu zaid ya salam na kuendelea na mambo yake.
Week kadhaa katika hali ya salamu tukabadilishana namba akidai kuwa muda mwingi nashinda nyumbani hivyo for emergency kuna jambo home iwe rahisi kunicheck.
Taratibu zikaanza chatting za salam,, kanichkua maelezo kutaka kujua nipoje na ni veep naendesha life langu, muda mwingi akitoka work ananikuta na mvinyo wa chupa zangu nasogeza siku. Mdogomdog,,, day moja katoka kachoka akadai nimsaidie kufata chakula mgahawani coz huwa hapiki, kwangu foods ipo full sikuona haja ya kutoka nilimpikia chakula alichotaka nikampatia.
Toka siku hiyo now ndo mpishi wangu,, sijawahi muuliza habari ya mahusiano yake wala kutaka kujua maisha yake, japokuwa huwa ananiuliza sana juu ya mahusiano yangu nakunieleza namna anavyoishi na mtu wake. Zangu namkwepa kama sielew kitu,,,,
After getting mpishi nilifocus kwenye mahemezi ya chakula bt nowdays akitoka kazin huanzia kwangu kbla ya kuingia kwake imefika hatua baadhi ya vitu vyake huviacha kwangu (nguo, saa, mikoba ya ofsin, viatu n.k). Nasubiri kuona hii movie itaishaje niko zangu buyu.